Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Cre forex alifundishwa na mkewe yule anayempost insta , yan yeye mentor wake ni mkewe[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]


Cre hajafika kiwango cha kuwa mentor sema analazimisha tu mambo...kwa kifupi Cre anatakiwa bado awe chini ya mentor..
 
Cre forex alifundishwa na mkewe yule anayempost insta , yan yeye mentor wake ni mkewe[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu mshkaji huwa hata haoni aibu anasema kabisa mke wake ndio aliomfundisha kudanlodi masese.

Nlishangaa sana yaani jamaa ana miaka miwili tangu aanze kutrade akiwa kafundishwa na mke wake then awe professional trader!? Wakati najua it takes year of intensive study and dedication ili MTU awe consistency profitable trader!?

Bora Dawa ni mkali kuliko Cre.
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa!
Mkuu tangu uanze umepata faida dollars ngapi kwa mtaji kiasi gani
 


Mkuu usinikumbushe hii kitu...siku hyo nilipoteza zaidi ya Dollari 1000...na nilimfuata Cre private nikamwambia EURUSD ni buy anakomaa kuwa ni selll... Nilikuwa na trades za buy EURUSD nikatoka nikaingia sell ndo nakaishia kupoteza hela. Baadae namuuliza anaanza story zake za market makers sijui. Cre bado ni mweupe sana kwenye chart analysis na kusoma candlesticks na reversal patterns maana kama unakumbuka kipindi hcho EURUSD ilikuwa imeprint double bottom kwenye H4 tf...na niliiona ndo nikaingia trades za buy baadae Cre anasema sell na mimi nikakubaliana naye na kuexit trades zangu za buy nikaingia sell ndo yakanikuta yakunikuta. Cre mweupe sana mkuu we acha tu..analazimisha tu mambo na kujisifusifu kifala ila ni mweupe sana sana sana.
 
Daah! Pole sana..yule bwege Mimi alishanitoka moyoni zamani sana na panki lake kama Shabaranks. Anafanya mizaha na hela za watu!? Yaani order yako ikienda hata pips mbili in profit unamsikia "GJ respect my name"...morfaka! Ikienda against anakwambia hold una dola 500 ikifika loss ya dola 450 anakwambia cut losses guys..! Later on unamsikia goodnight and Shalom! Ahahaha ndo kashawaachia manyoya hivyol.

The Cre world is cruel and criminally.
 


Jamaa fala sana yaani...ubishi tu wa kijinga...ukimwambia kitu hataki kukubali mwishoni anaanza kuleta visingizio...yaani nimetoka kumchukia we acha tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwenye maisha kuna mambo yakishatokea unapaswa kuyapokea Kama sehemu ya funzo flani muhimu kwako kisha pale kwenye makosa parekebishwe then let it go!!!
 
Kuharibu company name kwa sababu ya cheating or failing to abide with the business ethics and responsibility ni hatari na it may destroy the company brand forever if not handled well.

Iliwahi kuwatokea Volkswagen walipocheat ile Diesel emission test walitetereka sana kama kampuni mauzo ya magari yakashuka drastically, it took them decades to rebuild people's trust.

Samsung wao walikuwa na cheating ya batteries zao..zilikuwa zina overheat na kulipuka while kwenye vipimo vya sample walidanganya. Hawa hadi Rais wa Korea wamemponza anafungwa miaka 24 na faini dola milini 17 juu kwa kudanganya na kupokea rushwa yao.

Uaminifu ni mtaji mkubwa. TMT hatuiombei ife ila wakiendelea na cheating and neglect business ethics they won't last na dogo atapanda karandinga.
 
Asante mkuu kwa upendo,,kuleta hii mada hapa jukwaani ili uwaokoe na wengine,,its pure love,,,wewe ni shujaa wa siku[emoji123],,haijalishi umeangukaje what matters ni unasimamaje baada ya kuanguka.poleni lkn ichukulie tu km moja ya changamoto za maisha
 
lakini Mbona Ontario alikuwa anahimiza watu wajiongeze kwa kutafuta skills kupitia vitabu vya mambo ya forex!? alikuwa anasisitiza sana. Tatizo kunauwezekano vitabu havikusomwa vya kutosha na ipasavyo. Hivyo watu wakatumbukiza miguu miwili kwenye bwawa la forex bila kupima kina chake.
 
Kifup yule mentor hana strategy, huwa anatumia support & resistance only kufanya maamuz,
Ulitaka awe anatumia nini mkuu??? Ninavyojua mimi true forex trader ni yule atumiae candlestick,resistance and support, kuchambua soko.....Yaani kuwa pure price action trader.


Nijibu kwanza nilichokuuliza kabla sijaongea ninachotaka kuongea
 
Zile call alikuwa anafanya makusudi,BB broker hawezi fanya uhuni wake bila msaada wa mtu wake ataepotosha newbies. Mission accomplished
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…