Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Honestly speaking sisi tulisoma kwa fee ya 130,000/= sijui intake zilizofuata labda ada iliongezwa?

Vipi wewe ukuwahi fursa iliyogeuka juice ya fursana kwa mtu mmoja? Akatukunywa?

Hahahaaaa I’m too smart.

Waaaaay to smart than 99.98 % of the muhfuckaz in here.

So for me to fall for such schemes is almost unthinkable.

Imagine this, some of these muhfuckaz actually believe ‘Julius Magembe’ is my “real name”.

And I’m sitting here laughing out loud and literally rolling on the floor on how dumb, stupid, and gullible they are.

So nah, I don’t really partake in any of those schemes. I just stay in my lane.
 
Ahahaha!! I can't deny that bitter truth I tried several time to trace your ass way back in the days but never succeeded. You are bad ass morfuker.

Previously I thought I'm smart and sophisticated but Now I know I'm dumbass morfuker.. This nigga outsmarted me swiftly..got me roamed in town like all little kid..easily rob my money.Ahahaha! Bow to this nigga.

He has done my ass wrong? Daamn it?

But shit happen bru!
 

Hahahaaa.

Check this out right, we live in an information age.

That means a lot of our information is online.

Which means a simple Google search should provide enough hits.

Now, if I live in the ATL and I’m a homeowner and whatnot, if you Google me you should get plenty of hits.

Now Google that name and see what you get......

Teh teh teh
 
Jisajili Templerfx upate dollars 30 bure. Ukisha kamilisha usajili omba hiyo 30 kabla ya kudeposit
Templer FX Trader
 
Bavaria mimi nakulaan wewe kwanza katika masomo ulikua mstari wambele kutoa kwann hukutuambia kuwa tunaenda kutapeliwa na ulikua unajua je nikisema dhambi zingine ubebe wewe kuna ubaya?
Haukuwa wajibu wangu kukuambia kitu kinachohitaji reasoning ya kawaida kabisa.

Mwanzoni kabisa yeye mwenyewe alikuambia amesoma vitabu na kufanya demo kwa muda mrefu kabla hajafanya live trading. Mliambiwa mfanye demo? Kwanini hamkuomba hilo? Watu kibao walitoa experience zao za kusoma na kupractice kwa miezi na miaka wakaweza. Utaingiaje kichwakichwa kwa training ya siku 5 na kuanza live?

Mi nadhani kila mtu ni mtu mzima mwenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo. Haukuwa wajibu wangu kukuambia nini cha kufanya na sio cha kufanya. You are not a kid.

Mlihitaji atleast a year of reading, practice and demo. Fungua ule uzi kuanzia page ya kwanza hadi ya mwisho uone jinsi watu wamewapa onyo kwa njia moja au nyingine.

As a matter of facts, mwenyewe niliifahamu forex 2009 na nikasoma na kupractice hadi nikaanza live trading 2014. I had no mentor wala mtu wa kunifundisha chochote. Na wakati huo vitabu nanunua amazon.

Hakuna broker nisiyemfahamu au kufungua account kwake, hakuna kitabu ambacho sijakiona wala kukisoma.

This world is a jungle, tred carefully.
 
Ahahaha!! Googling that name is tricky coz you ain't leave no trace behind. Like the Kamikaze.

When you meet the cheater's sugarcoated words your will be automatically pushed into the killing zone by yourself gladly and proudly and your information might not help. He blinds by words.

But the game was sweet it gave my nigga an occupation but the process was illegitimate and fraudulent.

Glad to hear you got home at ATL..TI's home city.

"But don't hate the game hate the player"

I'm gone!
 
Sasa kwann hukushaur huyu broker jp sio mzur kwa newbie...? Na uli n support kwa mkono miwil
 

Mbona kama una muhukumu kwamba ni criminal? Huwezi muhukum mtu ni mahakama tu ndio inaweza fanya hivyo, na mbele ya sheria hizi zinaitwa "tuhuma" sasa wewe umekimbilia ku judge as if umekuwa mahakama!!

Stop whining!!
 
So sympathetic and Sad
 
Sasa kwann hukushaur huyu broker jp sio mzur kwa newbie...? Na uli n support kwa mkono miwil
Huo sio wajibu wangu kuanza kuchambua brokers. Ulikuwa wajibu wako kufanya utafiti. Unataka utafuniwe kila kitu?

Kama unaona hata basic stuffs kuhusu forex unataka utafuniwe, achana na forex kafanye mambo mengine.

Wewe ni mtu mzima, usisubiri uambiwe kila kitu.
 
Wale wa "Da Mange" alishawahi kuwaambia D9,Pamoja na Forex ni mchezo mbaya leo ndo hayo.
"Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone nilizani maghorofa"Diamond Platnumz
Kwa hiyo kahaba mange ndo ameshikiria kichwa chako umejipa muda lakini kusoma forex
Mkuu kama hutojali njoo pm unipe elimu kuhusu haya mambo
Mzee baba sitoi training wala signals cha kukusaidia pitia vitabu hivi naked forex, price action na astroforex halafu nenda youtube tafuta channels za astroforex na urbanforex download video zote na uanze kufuatilia hizo training kwa umakini video ni ndefu na ukifuata kwa umakini hutohitaji sijui indicator wala training uchwala wala signals ila practice sana pips 40 utakuwa unaziona chache sana.
 
Wewe jamaa n snitch sanaaa.... wakat Jamaa analeta hii mambo ulikuwa namba moja kuelekeza watu basics Leo hii unasema haikuwa wajibu wako.. wewe sema ulipewa share n.a. huyu tapel unyamaze kimya... huyu broker ulikuwa unamjuaa.. ukaaka kimyaaa wtu wamepoteza pesa nying.. kwenye bible kuna mstari unasema ukimuona mwenzako anaangamia/kupotea na wewe ukakaa kimya dhambi yake unaibebaaa... dhambi za wanyonge masikini lazm uzibebeeee... snitch..
 
Nashangaa mibaba na mimama mizima humu inashindwa kung'amua kuwa ilikuwa ikizidishiwa SPREADS pale Jangid hivyo kupelekea wengi wao kuunguza account kupitia yule broker kutoka kule kusini mwa Africa.


Nakumbuka mwaka jana mwezi wa 10, nina mdogo wangu wa kitaa anaielewa sana forex alitolewa kwenye group la forex la TMT kwa kuwafumbua macho watu kuwa spreads za Huyo broker msouth zina dalili ya wizi,ujambazi na ukabaila wa hali ya juu. Sasa ninajiuliza kama mtoto mdogo vile aliweza kufanya analysis zake na kubaini kuwa huyo broker kutoka nchi ya Mke wa mandela "Winnie Mandela" ana viashiria vya "Panya road" wa yombo vituka.


Nashangaa sasa inakuwaje watu wazima ambao wanajiita ni product adhimu/safi ya training za forex kutoka ILE ofisi ya pale Jangid kushindwa kufanya analysis ili wajue broker yukoje????.
Moja ya basics za training za forex ni kuweza kumsaidia mwanafunzi kubaini scamm broker. Kama mpaka sasa kuna mwanafunzi anajiita ni forex trader na ameiva kwa zile training huku akiwa hajui namna ya kubain yupi ni broker bora napata wasiwasi sana.


Sina conflict of interest na Broker au mentor yeyote dunian na mbinguni, ila siku zote nitaongea kile ninachoona ni kweli na haki. Moja ya kweli hizo namshukuru ONTARIO bila yeye nisingeijua forex na moja ya "kweli" nyingine ni huyu mtu either kwa makusudi au si makusudi kitendo cha kuongeza spreads ni kitendo cha kijambazi/kimbali kisichomithilika.



Nawasilisha.
 
Turbo payout
 
I'm sorry for your loss.

How on earth do you think you can be a profitable trader in a 5 days training?

Forex is not for you. Kafanye mengine.
 
I'm sorry for your loss.

How on earth do you think you can be a profitable trader in a 5 days training?

Forex is not for you. Kafanye mengine.
Hakika ulipewa share n.a. Ontario.. mpige PESA za masikin wenye kutegemea mlo mmoja kuishi ... na mfungwe Jiwe shingoni mtupwe Baharini ..
 
Hakika ulipewa share n.a. Ontario.. mpige PESA za masikin wenye kutegemea mlo mmoja kuishi ... na mfungwe Jiwe shingoni mtupwe Baharini ..
Forex haifanywi na masikini kama wewe ambao hawatumii akili ya kawaida kabisa.

Unaambiwa usiweke stop loss na wewe huweki. Hivi umemaliza hata kusoma forex bible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…