Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Mkuu umegeuza Uzi wangu kuwa pango la walanguzi, wezi na wanyang'anyi?

Huu ni utapeli nao kumuadress mtu kwenda kwa wrong broker ili wewe upate Introduction Broker commission.

Usirudie tena!
 
Mkuu umegeuza Uzi wangu kuwa pango la walanguzi, wezi na wanyang'anyi?

Huu ni utapeli nao kumuadress mtu kwenda kwa wrong broker ili wewe upate Introduction Broker commission.

Usirudie tena!

Nani aliyekuibia mkuu ? mbona povu Jingi ndugu.

Templerfx ndie broker rafiki kwa mazingira ya sasa hivi, mimi mwenyewe ndie namtumia
 
Huyo nae hapaswi kupewa jina lingine zaidi ya tapeli tu...sababu kati ya mabroker vichomi na huyu yumo. Huyu Broker katulogea Kwenye mpesa tu ila kihuduma ni mbovu sana hacheleweshi kukutumia marginal call.

Trader asiyejiamini mwisho wa siku lazima atamlaumu Broker Tu,
 
Nani aliyekuibia mkuu ? mbona povu Jingi ndugu.

Templerfx ndie broker rafiki kwa mazingira ya sasa hivi, mimi mwenyewe ndie namtumia
Si ungeanzisha Uzi wako ukifafanua Broker mzuri ni yupi? Kuja hapa kuweka link na maelezo ya kuvutia tu bila kutoa Do and Donts za broker husika mimi natafsiri kama utapeli tu.
 
Si ungeanzisha Uzi wako ukifafanua Broker mzuri ni yupi? Kuja hapa kuweka link na maelezo ya kuvutia tu bila kutoa Do and Donts za broker husika mimi natafsiri kama utapeli tu.
Mkuu niliku pm, Fanya tuyajenge
 
Candlesticks don't lie, withdrawals till a bank taller get amazed with your every week route to bank

Patience patience
 
Pole sana mkuu. Kwanza mimi nimshukuru Ontario kwa kunipa mwanga zaidi juu ya Forex. Tangu nilipoisikia hii nilianza kujisomea mwenye. Kitu cha kwanza nilianza kujifunza ni 1. Kwanini watu kwanini watu wengi wanapata hasara. Hapa nilimsikiliza sana bwana Adam Khoo. Kisha nikanunua kaunta book size 4, kila siku napata masaa 2-muda ukiruhusu-nasoma topic by topic. Last week nimemaliza online lecture ya Adam khoo. Nimesoma topics 11. Next week naanza na ctraders. Kisha nitaanza 'kutrade seriously'. Vision yangu ni kutumia miez 3 ya kujisomea exhaustively--asante kwa Youtube!.

'Sijatrade seriously' hata siku 1 but muhimu nimejifunza haya.

1. Forex si utapeli ni biashara halali na halis.

2. Brokers na Trainers ndio matapeli-si wote.

3. Kujielimimisha.
Ni biashara inayohitaji ujisomee sana. Kila siku ujielimishe.

4. Tamaa.
Hii ni biashara inayohitaji traders uvumilivu na kuweka tamaa pembeni. Lenga faida 'inayowezekana'.

5. Wekeza ulichotayari kukipoteza.

6. Zingatia kanuni za msingi za biashara.

Kama umewekeza laki 5, ikagenerate laki 1. Hiyo laki 1 iwe imeongeza mtaji. Inatakiwa iwe ni pesa inayojizungusha na kujizalisha yenyewe. Linda mtaji.

Nb 'dont trust anything which is too good to be true'
 
Perfect analysis!

Umeeleza vizuri kwa ufupi kabisa mkuu.

I'm humbled!
 
we na matangazo yako unazengu sana kausha
 
We are waiting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…