Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Buy hold wait for better price. Hata biashara ya maharage, mahindi, unga inafata principle hiyo. Je biashara ya mazao ni kamali?
Afadhari ya forex ambayo unabenefit wakati wa uptrend na downtrend. Siachi forex asee
Mkuu loss mnapataje kama mnahold mpaka price iwe juu sory kwa kukusumbua
 
Humble Africana unapotoa mada fikirishi kama subject, lazima ueleze kwanza msingi wa somo lenyewe!
Usishangae nikikuambia kuwa mada yako nzima nineambulia sifuri.
Maana yake sielewi hayo maTMT na ma Forex ndiyo ma nini?
Usidhani kila mtu yupo katika standard ya uelewa wa msingi wa kila jambo ama kila neno linalodisplay katika jamii.
 
Loss unapata pale unapohold halafu price inakuwa inazidi kushuka badala ya kupanda. Yani umenunua kilo moja ya maharage kwa shilingi 100 unasubiri baada ya miezi 6 ifike 1000 uuze na upate faida ya shilingi 900.

Matokeo yake bei inazidi kushuka kwa kipindi chote hicho mpaka shilingi 70kwa kilo happ ukiuza ndio tunasema umepata loss.

Huu mfano ni picha ta ulichouliza kwenye forex
 
Humble Africana unapotoa mada fikirishi kama subject, lazima ueleze kwanza msingi wa somo lenyewe!
Usishangae nikikuambia kuwa mada yako nzima nineambulia sifuri.
Maana yake sielewi hayo maTMT na ma Forex ndiyo ma nini?
Usidhani kila mtu yupo katika standard ya uelewa wa msingi wa kila jambo ama kila neno linalodisplay katika jamii.

mkuu hauko uptodate we tafuta uzi wa tmt huku uko utaelewa
 
Jaribuni tatu mzuka au biko
NB: vya bure ni ghali
 
Jaribuni tatu mzuka au biko
NB: vya bure ni ghali
Bosi naamini kiswahili unakijua vizuri sana km ni mtanzania halisi,sasa sijui BURE kwa upande wako inamaanisha nini,Ningependa kupata majibu sahihi toka kwako.Kwani hizo 3Mzuka na Biko ni bure?Sometym ukiona unaandika na kufuta mara nyingi bora ukaacha maana yake ni kuwa huna cha kuandika.
 
Nimemanisha wale mnaotaka pesa za kudownload nikimanisha biko,tatu mzuka na forex zote ni biashara za wapenda pesa za mtelezo kupigwa ni lazima
 
Binafsi sijajiunga na forex but sipendi kuwahukumu aisee tena mi nawapa hongera tu coz shughuli yoyote ambayo unawekeza akili nyingi siwezi kuiita ya mtelemko.
 
Nimemanisha wale mnaotaka pesa za kudownload nikimanisha biko,tatu mzuka na forex zote ni biashara za wapenda pesa za mtelezo kupigwa ni lazima
Nyie ndio misukule "Walking dead body" ambao hamna la maana mnalojua zaidi ya kuandika umbea.
 
Misukule ni ninyi mlioshindwa kufanya kazi mkataka mtelezo matokeo yake mnakuja kulia lia hapa kama watoto wa kike
 
watu wanao tumia kivuli cha forex kufanyia utapeli wapo wengi.ukiwa na tamaa na si msomi wa shuguli hii basi hesabu maumivu.kiukweli watanzania wanaitaji kutaazalishwa na wapo wengi.
 
Misukule ni ninyi mlioshindwa kufanya kazi mkataka mtelezo matokeo yake mnakuja kulia lia hapa kama watoto wa kike
Unadhani watu hatuna kazi na hatuna hela????

Unadhani forex tunafanya kwa kutokuielewa ???

Kwa taarifa yako ninachokifanya nakielewa zaidi ya 90%.. Sifanyi kwa ya tamaa na mihemko ya hao matapeli mnaokutana nao huko mtaani. Ukute huna kazi njaa zimekujaa unakuja kuonea wivu wanaume wenzako. Nenda kalime matikiti mzee huku waachie watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na sio wewe akili ukubwa size ya "Pilton".
 
Huwezi kuwa na pesa ukategemea pesa ya kudownload, siku zote mjinga ndo faida ya tajiri; nyie ni fursa na mtaendelea kuwa fursa mpaka pale akili zitakapowakaa sawa sawa.
 
Back
Top Bottom