mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nijieleze?hahah subiri kidogo.Saga gani la TMT? Embu jieleze kinaga ubaga ueleweke!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijieleze?hahah subiri kidogo.Saga gani la TMT? Embu jieleze kinaga ubaga ueleweke!!
Mkuu video zipo ila ni ndefu kuanzia dakika 29+ mpaka 1-hourMh Daudi naweza pata hzo video za Adam tafadhali???
Mkuu loss mnapataje kama mnahold mpaka price iwe juu sory kwa kukusumbuaBuy hold wait for better price. Hata biashara ya maharage, mahindi, unga inafata principle hiyo. Je biashara ya mazao ni kamali?
Afadhari ya forex ambayo unabenefit wakati wa uptrend na downtrend. Siachi forex asee
Loss unapata pale unapohold halafu price inakuwa inazidi kushuka badala ya kupanda. Yani umenunua kilo moja ya maharage kwa shilingi 100 unasubiri baada ya miezi 6 ifike 1000 uuze na upate faida ya shilingi 900.Mkuu loss mnapataje kama mnahold mpaka price iwe juu sory kwa kukusumbua
Mkuu video zipo ila ni ndefu kuanzia dakika 29+ mpaka 1-hour
Humble Africana unapotoa mada fikirishi kama subject, lazima ueleze kwanza msingi wa somo lenyewe!
Usishangae nikikuambia kuwa mada yako nzima nineambulia sifuri.
Maana yake sielewi hayo maTMT na ma Forex ndiyo ma nini?
Usidhani kila mtu yupo katika standard ya uelewa wa msingi wa kila jambo ama kila neno linalodisplay katika jamii.
wape linkMkuu video zipo ila ni ndefu kuanzia dakika 29+ mpaka 1-hour
Yeah atoe link itakuwa bora zaidi na itampunguzia usumbufu maana wahitaji waweza ongezeka.wape link
Mkuu ingia Youtube Andika Adam Khoo. Then pitia chanel yake video moja baada ya nyingineYeah atoe link itakuwa bora zaidi na itampunguzia usumbufu maana wahitaji waweza ongezeka.
Thanks mkuuMkuu ingia Youtube Andika Adam Khoo. Then pitia chanel yake video moja baada ya nyingine
Bosi naamini kiswahili unakijua vizuri sana km ni mtanzania halisi,sasa sijui BURE kwa upande wako inamaanisha nini,Ningependa kupata majibu sahihi toka kwako.Kwani hizo 3Mzuka na Biko ni bure?Sometym ukiona unaandika na kufuta mara nyingi bora ukaacha maana yake ni kuwa huna cha kuandika.Jaribuni tatu mzuka au biko
NB: vya bure ni ghali
Nimemanisha wale mnaotaka pesa za kudownload nikimanisha biko,tatu mzuka na forex zote ni biashara za wapenda pesa za mtelezo kupigwa ni lazimaBosi naamini kiswahili unakijua vizuri sana km ni mtanzania halisi,sasa sijui BURE kwa upande wako inamaanisha nini,Ningependa kupata majibu sahihi toka kwako.Kwani hizo 3Mzuka na Biko ni bure?Sometym ukiona unaandika na kufuta mara nyingi bora ukaacha maana yake ni kuwa huna cha kuandika.
Binafsi sijajiunga na forex but sipendi kuwahukumu aisee tena mi nawapa hongera tu coz shughuli yoyote ambayo unawekeza akili nyingi siwezi kuiita ya mtelemko.Nimemanisha wale mnaotaka pesa za kudownload nikimanisha biko,tatu mzuka na forex zote ni biashara za wapenda pesa za mtelezo kupigwa ni lazima
Nyie ndio misukule "Walking dead body" ambao hamna la maana mnalojua zaidi ya kuandika umbea.Nimemanisha wale mnaotaka pesa za kudownload nikimanisha biko,tatu mzuka na forex zote ni biashara za wapenda pesa za mtelezo kupigwa ni lazima
Misukule ni ninyi mlioshindwa kufanya kazi mkataka mtelezo matokeo yake mnakuja kulia lia hapa kama watoto wa kikeNyie ndio misukule "Walking dead body" ambao hamna la maana mnalojua zaidi ya kuandika umbea.
Unadhani watu hatuna kazi na hatuna hela????Misukule ni ninyi mlioshindwa kufanya kazi mkataka mtelezo matokeo yake mnakuja kulia lia hapa kama watoto wa kike
Huwezi kuwa na pesa ukategemea pesa ya kudownload, siku zote mjinga ndo faida ya tajiri; nyie ni fursa na mtaendelea kuwa fursa mpaka pale akili zitakapowakaa sawa sawa.Unadhani watu hatuna kazi na hatuna hela????
Unadhani forex tunafanya kwa kutokuielewa ???
Kwa taarifa yako ninachokifanya nakielewa zaidi ya 90%.. Sifanyi kwa ya tamaa na mihemko ya hao matapeli mnaokutana nao huko mtaani. Ukute huna kazi njaa zimekujaa unakuja kuonea wivu wanaume wenzako. Nenda kalime matikiti mzee huku waachie watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na sio wewe akili ukubwa size ya "Pilton".