Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hapana vile kumwelewa tu mtoto wa mtuUna kumbukumbu aseee,Ata mm niliusoma ilikuwa first love nn mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana vile kumwelewa tu mtoto wa mtuUna kumbukumbu aseee,Ata mm niliusoma ilikuwa first love nn mkuu
Aisee safi sana. Shanily.Huu ushauri wa kuwafundisha Imani zao na ili wawe na hofu ya mungu kweli kbsaa. Mwanamke akiwa na hofu ya mungu hawezi kuchepuka hata awe mpweke kiasi gani.
Hili naongea kwa uzoefu nalo. Niliolewa na mume anafanya kazi nje anakuja kwa mwaka mara moja na akija hakai zaidi ya week au week mbili, mwaka mzima mnaongea wasap tu lakini ndani ya miaka 6 tuloishi sikuwahi hata kuwaza kutoka nje. Kwaajili ya hofu , hivi Mungu namjibu nini siku ya mwisho!? Unakuta unajizuia na kujichunga licha ya upweke ulonao.
WAnaume hatucheat sababu ya kutoridhishwa na hii sio Sababu kubwaNaomba niulize swali. Nimesikia maneno mengi sana yanasemwa kwamba mwanaume anae cheat ni yule ambae haridhishwi na mkewe ndani. Kuna huduma anakosa and all that. Sasa swali langu- Kwa mwanamke asie ridhishwa na mumewe, hapewi huduma inavyotakiwa na yupo tu nyumbani afanyaje?
Aongee na mumewe kuhusu maswala hayo ya kutoridhishwa kutokuhudumiwa n.k , kama mazungumzo hayajaleta mabadiliko yoyote ,Naomba niulize swali. Nimesikia maneno mengi sana yanasemwa kwamba mwanaume anae cheat ni yule ambae haridhishwi na mkewe ndani. Kuna huduma anakosa and all that. Sasa swali langu- Kwa mwanamke asie ridhishwa na mumewe, hapewi huduma inavyotakiwa na yupo tu nyumbani afanyaje?
WAnaume hatucheat sababu ya kutoridhishwa na hii sio Sababu kubwa
May be kunyimwa mzigo
Kisirani kila siku etc
Ndio maana nilimuuliza jinsi yake. Naona kapotea.Aongee na mumewe kuhusu maswala hayo ya kutoridhishwa kutokuhudumiwa n.k , kama mazungumzo hayajaleta mabadiliko yoyote ,
Atafute shughuli ya kufanya ajiweze kiuchumi asepe akaanze maisha yake.
Huko wa kike itakuwa , maana kasema kama mwanamke nae haridhishwi!!!Ndio maana nilimuuliza jinsi yake. Naona kapotea.
Sahihi kbsaa.Ni jambo la kishujaa kuweza kuepuka matamanio ya kimwili. Ni mafanikio makubwa sana.
Nilimshauri lakini alijibu kwa swali kwamba ushauri huo unawafaa hata wanaume? Hapo ikabidi nimuulize jinsi yake ili nijue tunamshauri vipi kwa mara ingine. Kapotea. Ila anahitaji ushauri huyu ndugu.Huko wa kike itakuwa , maana kasema kama mwanamke nae haridhishwi!!!
Sinaga marafiki wa kiume hao wakike wenyewe ninae mmoja tu. Tena ni wa shule.Hukua na watu wengi wa karibu wanaume.?
Mhh hii mbona kama chai na kama sio chai utakuwa mvutoless yaani sura huna wala trako huna so hakuna anayejishuhulisha na weweYeah tulipambana haswa sio poa.
Eehh kumbe , sasa ukijishughulisha na mm kama sihajishughulisha na wewe, unadhani utapata nini!?.Mhh hii mbona kama chai na kama sio chai utakuwa mvutoless yaani sura huna wala trako huna so hakuna anayejishuhulisha na wewe.
Ooh inawezekana lakini Kwa Msingi wa dini. Lakini kina vishawish vidogo vidogo mathali kuitwa/kusimamishwa njiani na kuombwa namba. Hivi uliviepuka vipi au ulikua unagawa namba ya uongo.Sinaga marafiki wa kiume hao wakike wenyewe ninae mmoja tu. Tena ni wa shule.
Kufikia hapo huna deni tenaTuendelee EPISODE 10B
Lile penzi la jana likafufua hisia zilizokuwa zimeanza kupoteza uhai. Nikajikuta wazo la kubutua ya mwisho niondoke linakosa nafasi. Miezi mitatu ikakatika nikiwa nimekutana na Recho kwa wastana wa mara moja kila mwezi.
Mkeka wa tatu ukaitika, hii sasa ni ajira rasmi ya kudumu. Kituo cha kazi si tu ni mkoa mwingine bali ni kanda nyingine kabisa. Kabla ya kumjuza Recho nilijiuliza maswali machache ikiwemo. Mosi, Mimi nipo na Recho katika mahusiano, je malengo yetu ni nini. Pili, kama kaweza kumcheat mumewe kwa sababu ya umbali vipi kwangu 'mpango wa kando'. Majibu yangu yote yalionesha hapa sina tena changu.
Kama ilivoada, binadamu tumeumbwa kuzoea/ adapt mabadiliko fulani katika kipindi fulani. Ndivyo ilivokua kwangu. Nilizoea kutafutwa mara moja kwa wiki, au hata wiki kukatika bila kutafutwa na hii iliiandaa akili yangu kuwa tayari kupokea taarifa yoyote mathalani kuachana na Recho rasmi. Majira ya kuondoka kwajili ya kazi yalipo karibia nikamjulisha Recho kwa njia yetu ileile.
Mimi " Recho nina habari njema". "Habari gani?" Akajibu. Kwa kuchat hutanielewa, ukipata nafasi nipigie". Akanipigia na nikamwambia nimebahatika kupata kazi mkoa X na Nina week tu kureport. "Dah! jamani kweli Mungu anajibu maombi. Hongera!!". Mimi " Ahsante sana... umenisapoti sana". Akacheka kisha "So waenda lini, Fanya basi uje tuagane nikutakie na safari njema". Mimi " Unadhani naweza kuondoka bila kumuaga mama la mama".
Tulipanga tuonane na hii ilikua nje na kwake. Naweza sema hii ndio ilikua our first date. Sijui alidanganya nini kwa jamaa yake, aliomba nichukue na chumba ili tusiongee kwa kujibana badala yake tuwe 'free' tuagane vizuri.
Ndani ya chumba chenye hadhi ya wastani nipo na Recho. Nikamuonesha vithibiti vya uhalali wa kazi. Recho " Babaa sasa umepata kazi ambayo siku zote tumekua tunamuomba Mungu...nenda ukafanye kazi". Akaendelea " Mimi usiniwaze kabisaa et uko mbali tutaishije.... umepata nafasi usiichezee, Mungu atampa mtu mwingine". "Unanisikia babaa.." nikaulizwa mwanaume .
Mimi "Yep yep.. ila kukuacha hivi inanipa mawazo". Recho kwa sura ya upole na sauti ya kuombea hela ya sadaka akaendelea, " Z mimi sio binti mdogo kwamba nitaanzisha mahusiano mengine...we Nenda kapambanie ndoto yako". Hakuishia hapo akaendelea, "Ukipata likizo utakuja, mbona tumeonana zaidi ya mara tatu toka jamaa kaja!!... itawezekana tu!".
Hii siku nilipewa mawaidha ya kutosha na Recho. Kubwa alilosisitiza zaidi ni Mimi kujishikilia. Nitangulize kazi mbele mapenzi yafate. Alikuwa sahihi sana, nafikiri aliweza kuona udhaifu niliyokuwa nao juu yake.
Moyoni nilijisemea " walahi huyu mwanamke angekua ndio mke wangu, kwa umri wangu huu kimaisha ningekua mbali sana" . Tuliongea mengi na baada ya hapo tukaziruhusu sehemu zinazotofautisha jinsi zetu nazo zipeane mawaidha.
Recho aliondoka mishale ya saa nne usiku kurejea kwake. Nilala pale huku nikiwa natafakari maisha mapya mbali na mwanamke ninayempenda yatakuaje.
Msomaji wangu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hakika pamoja na ukosefu wa uadilifu katika ndoa yake, Recho alinisaidia kupiga hatua kimaisha mchepuko wake.
Pamoja na kwamba ni kweli nimeonekana kumkatia tamaa kimapenzi lakini bado yeye alionesha yupo ndani ya maisha yangu. Aliniuliza kila hatua niliopitia kwanzia safari kuelekea mkoani mpaka mapokezi kazini. Kwakweli aliweza kuniteka. Nilikuwa najisikia huzuni pale wazo la lini nitamuona tena Recho likiniijia.
Wiki ya kwanza ikaisha, mwezi ukapindika ndani ya makao mapya. Mimi na Recho bado tunawasiliana japo ni kwa style yetu ambayo ni limited. Wiki ya kwanza ya mwezi uliofata Recho ghafla akaacha kujibu status zangu na alikua anaziona, nilipojaribu kupiga simu yake muda wote ilikua busy, Yani nimekua 'blocked.
Ikanistua sana kuna nini kinachoendelea. Nikavunga kwa hio wiki niki 'assume' huenda yupo mazingira magumu kuwasiliana na mchepuko wake. Wiki iliofata hakuna madiliko. Tayari red light kichwani, nikasajili namba mpya na kumpigia nijue changamoto nini.
Simu ikaita kwa muda na haikupokelewa. Nilijaribu tena bila mafanikio. Hofu sasa ikanijaa kwani Recho kapatwa na nini.
Mida ya saa Moja kasoro akanipigia kwa namba yangu mpya " Hello". Nikaitikia "Yes Hello!". Recho "nimekuta umenipigia, sorry nani?". Mimi "Hata sauti hujaijua....ok Z hapa". Baada ya kujitambulisha vile Recho akakaa kimya kwa sekunde kadhaa nikamstua.
"Hello Recho.... ni mimi Z naona umeniblock na hata WhatsApp sikupati, tatizo nini niambie tafadhali". Recho pasipo kuongea lolote alikata simu. Sikuamini kile kitendo na nikivojaribu kupiga tena tayari alikwisha block hio namba yangu.
Maadamu niliweka reserve wazo la siku moja nitaachwa, sio kuachana na Recho kutokana na umbali nikajisemea hii Ndio tayari byebye. Kumbe Haikua hivyo. . . . .
Naomba niishie hapa lakini kesho tutamaliza kisa hiki, niombe radhi kwa ufupi wa kipande cha Leo. Ni muda wangu kwa leo si rafiki
sana. Ahsante!
Mbuzi
I got uBONUS EPISODE
HIVI NDIVYO TUNAVOCHEAT, PALIPO NA VIATU VYA MUMEWE KUNA NDALA ZANGU story ya kweli kati yangu Hovering na Recho ambaye ni mke halali wa mtu. Nimeileta kwenu kama sehemu ya kuonesha nini kinatokea linapokuja suala la kutoka nje ya Ndoa iwe kwa maksudi au bahati mbaya.
Kama ilivyo kwa wengi ambao tukisoma habari za uchawi tunahisi ni uongo au kuchanganyikiwa kwa mtu mpaka likukute, ndivo ilivo katika mapenzi ya aina hii. Wengi hushindwa kuamini habari za fulani ana chepuka na fulani mpaka tukio la kufumaniwa/kufumania likukute.
Andiko langu halichochei wala kuchagiza ukosefu wa uadilifu kwenye mahusiano halali hapana. Nimetoa picha kwa uchache namna mambo yanavyokua walau kwa kusoma tu upate ABC, Mimi nikiwa kama muhusika mkuu.
Kupitia 'comments' nimeona watu wakitoa hisia zao na mawazo yao kila mtu kulinga na alivyoitafsiri stori na hii inatoa picha halisi jinsi gani haya mambo ni kweli yanatokea katika jamii na yanatugusa.
Bwana mmoja nimuhifadhi ID yake naona nilimgusa kiasi cha kunitishia nisiendee na kisa. Wapo waliofurahi na kutamani stori iendelee. Haya yote nimeyapokea.
Na hii sasa ndio imenishawishi kuongeza kipande hiki walau nizungumze na makundi makubwa matatu. Mosi ni sisi vijana. Pili, wanawake waliopo ndani ya mahusiano hususa ni ndoa, uchumba nk na mwisho nimalize na sisi wa baba/watu wazima tulioa au lah.
Karibu sana tuzungumze kupitia kundi lako.
Vijana
Imekuwa ni kawaida kabisa kukuta vijana wa umri kati ya miaka 23 hadi 35 wanatambiana kulelewa na wanawake wanaojiweza kiuchumi na umri mkubwa, huku wengine wakibaki wanajiuliza hizo 'bahati' wenzao wanazipata vipi.
Kwa kifupi kweli ni 'bahati' lakini ni 'bahati mbaya'. Kwanini ni bahati mbaya nimekuweka link ya Uzi wangu pendwa. Hapo naamini utajiona upo salama au lah!.
Nisingeamua, ningeacha kimemo kama Katibu
Wanawake ndani ya Mahusiano.
Kuwekwa ndani ya nyumba, kuaminiwa na mwanaume umzalie watoto, kuhudumiwa kwa kadri ya uwezo wa mwanaume wako ni dhamana kubwa ya mwanaume dhidi yako.
Ni kweli inawezekana umeolewa kwasababu kadha wa kadha ikiwemo unafuu wa maisha, kulazimishwa ndoa na sio hisia nzito za mapenzi juu ya mmeo lakini heshimu hio dhamana alioibeba kwajili yako.
Unaheshimu vipi. Ni kwa funga milango au mianya yote inayoweza kukuonesha mapungufu ya mtu wako. Kuna kina Z wengi sana katika jamii ambao malengo ya hua ni kupiga na kuondoka na hakika show zao ni kuntu lakini je mwisho wa siku Z wako ataleta ugali mezani!?
Jibu ni Hapana, basi jaribu kadri ya uwezo wako kumuheshimu anaeleta huo ugali mezani.
Toka naanza simulizi mpaka namaliza nimekuonesha jinsi mchango wa kuwa na kitu cha ziada mbali na sex kwa mtu wako kunavyoweza kugeuza akili yake na kuteka hisia zake za kimapenzi. Basi ichukue hio. Nayo ni silaha makini.
Kwa Wababa, wakuu wa kaya.
Nadhani kupitia stori tumeona namna Recho mke wa mwanaume mwenzetu alivoshawishika kutoka nje ya ndoa yake. Upweke!!
Wapo wanaume ambao kutokana na stori wameanza kuhisi wake zao bia shaka wanatoka nje. Hapana wapo wanawake wenye upendo wa dhati na hofu ya Mungu, hao wanaweza kutetea heshima yako na ukabaki mshindi daima.
Lakini pamoja na geti lako kubwa na uzio uliozungushia kwako hio bado haitoshi mke wako anaweza kuliwa ndani hapo hapo kwako.
Mtu mmoja katika 'comments' aliuliza "hivi na huyu wangu( akimaanisha mke wake) analiwa...mbona haioneshi hata dalili".
Jibu la swali lake ni 'uwezekano upo'. Hata huyo mlinzi uliyemuweka getini akulindie mji anaweza kuwa wa kwanza kuwa mwizi wa mkeo. Hapa namaanisha, mwanamke kuchepuka anaamua muda wowote mahali popote.
Basi nini tufanye.
Nashauri tuhimize familia zetu (watoto pamoja na mama yako) kuhudhuria ibada pamoja na mafundisho ya kidini kwa Imani zetu.
Hii Inasaidia kujenga hofu ya Mungu ndani mtu, Hali itakayomfanya kuhisi hatia dhidi ya mola wale pale anapotaka au kwisha kuteleleza dhambi .
Pili, hizi ni zama za ukweli na uwazi.
Ongea na mwanamke wako kuhusu athari za kutoka nje ya Ndoa na msimamo wako ni upi likijitokeza hilo. Kuwa muwazi kwa kumuelimisha mtu wako.
Nilisema ndani ya kisa mwanamke kaumbwa kama msaidizi kwa mwanaume yaani mfuwasi hivyo zungumza kiume pale unapokuwa una address swala nyeti na zito kama hio. Utaeleweka vizuri sana.
Mwisho, Acha kuchunguza simu ya mkeo mara kwa mara na badala yake focus zaidi kwenye kumstaajabisha kwa zawadi na show safii na kufurahia penzi. Isipokuwa ichunguze mara chache na kwa ambush.
Vilevile weka utaratibu wa kucheck afya mara kwa mara hasa unapokua umetoka safari. Nakukumbusha Recho alitoa mimba kipindi mkuu wa kaya yupo nje masomoni.
Lakini hakikisha kipindi cha joto cha mkeo ndani ya mwezi unakuwa karibu. Hii itapunguza zile sababu za kimazingira zinazoweza kuwawezesha kina Z wakapita na gap.
Kwa maoni na ushauri, PM wakati wowote.
Bonus Episode marks the End.
Ila ni sawa mkuuNikifanya hivyo nakuwa naudanganya moyo wangu tu mkuu
Nimeshuhudia wanawake wapole wasiojua hata kuongea wakipigwa matukio. Wanaume mjitafakariWAnaume hatucheat sababu ya kutoridhishwa na hii sio Sababu kubwa
May be kunyimwa mzigo
Kisirani kila siku etc