Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

HakiKwanza_2015 mwanaume udhaifu wake ni kutamani. Hacheat kwasababu tu haumridhishi tu. Ila kama pia huoneshi kujali asee atatoka tu.
Bado hujajibu swali langu. Mwanamke yeye hapendi kujaliwa? Asipojaliwa na mumewe akatafute wapi pumziko? Mwishoni tutafika tu kwenye hitimisho kwamba mnajiendekeza!! Na muache kulaumu kwamba wanawake ndo chanzo cha mwanaume kutoka wakati mshasema ndo mlivyo
 
Ila hii stori imeonesha mwanaume ndo chanzo Cha mke wake kutoka nje!?.

Kuna wanaume hata ukiwajali watatoka, kwanini!?. Kwasababu ni hulka yake na tamaa zake , ambazo asilimia kubwa wanaume hutoka kwa sababu hii ya tamaa za kimwili, ingawaje Kuna wengine wanatoka kwakua mke hajali, anagubu n.k
Kuna mwanamke anaweza akamnyima tendo mumewe miezi, unategemea nini!?, Mume huyu akitoka tutasema mke ndo chanzo.
 
Nisaidie kitu. Ili uhisi unajaliwa mambo gani ufanyiwe
 
Ila hii stori imeonesha mwanaume ndo chanzo Cha mke wake kutoka nje!?.

Kuna wanaume hata ukiwajali watatoka, kwanini!?. Kwasababu ni hulka yake na tamaa zake , ambazo asilimia kubwa wanaume hutoka kwa sababu hii ya tamaa za kimwili, ingawaje Kuna wengine wanatoka kwakua mke hajali, anagubu n.k
Kuna mwanamke anaweza akamnyima tendo mumewe miezi, unategemea nini!?, Mume huyu akitoka tutasema mke ndo chanzo.
Naona una lugha nzuri anayoweza kukuelewa.
 
Hii ngeli ilopigwa hapa mpka nimeogopa😂 kunywa maji kdgo upoze Koo , mnatuchanganya mjuee
Haha mbona maelezo yamenyooka mkuu, alichokiandika hapo angeandika kwa kiswahili paragraph ingekuwa ndefu mno, mfano maneno kama infidelity na adultery sidhan kama yana tafsiri ya neno moja moja kama ukiyaweka kwenye kiswahili
 
Yanayo kiswahili chake Kama sijasahau Adultery ni ... uzinifu / uzinzi.
Infidelity... kukosa uaminifu katika mahusiano.
Naona alijibu kutokana na alivyoulizwa, ngeli kwa ngeli.
 
Okay ila adultery ni kumpiga mikasi mtu aloolewa/kaoa kimasihara wakati wewe sio mume/mke wake. Anyway jaribu kutafsiri alichoandika jamaa alafu uandike kwa kiswahili kama hujajikuta na paragraph moja kubwa...
 
Sijausoma hata nimesoma heading tu, kitoto kama wewe cha elfu2 huwezi kunifundisha mambo haya master of kamasutra.
Wadau wa JF safi sana. Kila mtu mnaona ni 'Gen Z'. Mpo wengi kaka angalia vizuri comment utaona wakufanana na wewe. Nimependa kumbe Tittle ulisoma. Safii
 
Back
Top Bottom