Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu nitaandika nitaku tag nikifanikishaKaka nakukumbusha. Pata muda andaa hata single page tu kwa leo. Andika chochote unachokumbuka. Tupo hapa tussoma na kusapoti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nitaandika nitaku tag nikifanikishaKaka nakukumbusha. Pata muda andaa hata single page tu kwa leo. Andika chochote unachokumbuka. Tupo hapa tussoma na kusapoti.
Bado hujajibu swali langu. Mwanamke yeye hapendi kujaliwa? Asipojaliwa na mumewe akatafute wapi pumziko? Mwishoni tutafika tu kwenye hitimisho kwamba mnajiendekeza!! Na muache kulaumu kwamba wanawake ndo chanzo cha mwanaume kutoka wakati mshasema ndo mlivyoHakiKwanza_2015 mwanaume udhaifu wake ni kutamani. Hacheat kwasababu tu haumridhishi tu. Ila kama pia huoneshi kujali asee atatoka tu.
Ila hii stori imeonesha mwanaume ndo chanzo Cha mke wake kutoka nje!?.Bado hujajibu swali langu. Mwanamke yeye hapendi kujaliwa? Asipojaliwa na mumewe akatafute wapi pumziko? Mwishoni tutafika tu kwenye hitimisho kwamba mnajiendekeza!! Na muache kulaumu kwamba wanawake ndo chanzo cha mwanaume kutoka wakati mshasema ndo mlivyo
Nisaidie kitu. Ili uhisi unajaliwa mambo gani ufanyiweBado hujajibu swali langu. Mwanamke yeye hapendi kujaliwa? Asipojaliwa na mumewe akatafute wapi pumziko? Mwishoni tutafika tu kwenye hitimisho kwamba mnajiendekeza!! Na muache kulaumu kwamba wanawake ndo chanzo cha mwanaume kutoka wakati mshasema ndo mlivyo
Naona una lugha nzuri anayoweza kukuelewa.Ila hii stori imeonesha mwanaume ndo chanzo Cha mke wake kutoka nje!?.
Kuna wanaume hata ukiwajali watatoka, kwanini!?. Kwasababu ni hulka yake na tamaa zake , ambazo asilimia kubwa wanaume hutoka kwa sababu hii ya tamaa za kimwili, ingawaje Kuna wengine wanatoka kwakua mke hajali, anagubu n.k
Kuna mwanamke anaweza akamnyima tendo mumewe miezi, unategemea nini!?, Mume huyu akitoka tutasema mke ndo chanzo.
Zinapitaga tu kawaidaSafi Ulijitajidi. Na vipi kipindi cha joto ulihimili vipi mikiki.
Badilika sasa nipate wifiNadhani tatizo linaanzia hapa mdogo wangu.🤣
Haha mbona maelezo yamenyooka mkuu, alichokiandika hapo angeandika kwa kiswahili paragraph ingekuwa ndefu mno, mfano maneno kama infidelity na adultery sidhan kama yana tafsiri ya neno moja moja kama ukiyaweka kwenye kiswahiliHii ngeli ilopigwa hapa mpka nimeogopa😂 kunywa maji kdgo upoze Koo , mnatuchanganya mjuee
Yanayo kiswahili chake Kama sijasahau Adultery ni ... uzinifu / uzinzi.Haha mbona maelezo yamenyooka mkuu, alichokiandika hapo angeandika kwa kiswahili paragraph ingekuwa ndefu mno, mfano maneno kama infidelity na adultery sidhan kama yana tafsiri ya neno moja moja kama ukiyaweka kwenye kiswahili
Eehh kumbe , sasa ukijishughulisha na mm kama sihajishughulisha na wewe, unadhani utapata nini!?.
Halafu wanawake wote wanaochepuka wembamba hakuna eehh
Okay ila adultery ni kumpiga mikasi mtu aloolewa/kaoa kimasihara wakati wewe sio mume/mke wake. Anyway jaribu kutafsiri alichoandika jamaa alafu uandike kwa kiswahili kama hujajikuta na paragraph moja kubwa...Yanayo kiswahili chake Kama sijasahau Adultery ni ... uzinifu / uzinzi.
Infidelity... kukosa uaminifu katika mahusiano.
Naona alijibu kutokana na alivyoulizwa, ngeli kwa ngeli.
Sijausoma hata nimesoma heading tu, kitoto kama wewe cha elfu2 huwezi kunifundisha mambo haya master of kamasutra.Kama umeusoma na kumaliza wote basi safi.
Wadau wa JF safi sana. Kila mtu mnaona ni 'Gen Z'. Mpo wengi kaka angalia vizuri comment utaona wakufanana na wewe. Nimependa kumbe Tittle ulisoma. SafiiSijausoma hata nimesoma heading tu, kitoto kama wewe cha elfu2 huwezi kunifundisha mambo haya master of kamasutra.
"Once a GEN Z always a GEN Z"Wadau wa JF safi sana. Kila mtu mnaona ni 'Gen Z'. Mpo wengi kaka angalia vizuri comment utaona wakufanana na wewe. Nimependa kumbe Tittle ulisoma. Safii