Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Aisee safi sana. Shanily.
 
WAnaume hatucheat sababu ya kutoridhishwa na hii sio Sababu kubwa
May be kunyimwa mzigo
Kisirani kila siku etc
 
Aongee na mumewe kuhusu maswala hayo ya kutoridhishwa kutokuhudumiwa n.k , kama mazungumzo hayajaleta mabadiliko yoyote ,

Atafute shughuli ya kufanya ajiweze kiuchumi asepe akaanze maisha yake.
 
WAnaume hatucheat sababu ya kutoridhishwa na hii sio Sababu kubwa
May be kunyimwa mzigo
Kisirani kila siku etc
Aongee na mumewe kuhusu maswala hayo ya kutoridhishwa kutokuhudumiwa n.k , kama mazungumzo hayajaleta mabadiliko yoyote ,

Atafute shughuli ya kufanya ajiweze kiuchumi asepe akaanze maisha yake.
Ndio maana nilimuuliza jinsi yake. Naona kapotea.
 
Huko wa kike itakuwa , maana kasema kama mwanamke nae haridhishwi!!!
Nilimshauri lakini alijibu kwa swali kwamba ushauri huo unawafaa hata wanaume? Hapo ikabidi nimuulize jinsi yake ili nijue tunamshauri vipi kwa mara ingine. Kapotea. Ila anahitaji ushauri huyu ndugu.
 
Mhh hii mbona kama chai na kama sio chai utakuwa mvutoless yaani sura huna wala trako huna so hakuna anayejishuhulisha na wewe.
Eehh kumbe , sasa ukijishughulisha na mm kama sihajishughulisha na wewe, unadhani utapata nini!?.

Halafu wanawake wote wanaochepuka wembamba hakuna eehh🤔
 
Sinaga marafiki wa kiume hao wakike wenyewe ninae mmoja tu. Tena ni wa shule.
Ooh inawezekana lakini Kwa Msingi wa dini. Lakini kina vishawish vidogo vidogo mathali kuitwa/kusimamishwa njiani na kuombwa namba. Hivi uliviepuka vipi au ulikua unagawa namba ya uongo.
 
Kufikia hapo huna deni tena
 
Mbuzi
I got u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…