Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Aongee na mumewe kuhusu maswala hayo ya kutoridhishwa kutokuhudumiwa n.k , kama mazungumzo hayajaleta mabadiliko yoyote ,

Atafute shughuli ya kufanya ajiweze kiuchumi asepe akaanze maisha yake.
Mwanaume anashindwa nini kuongea na mkewe ili aridhishwe hadi anafanya maamuzi ya kwendakucheat
 
Shida wakiwa na wanaowazidi umri hawawi hivyo sijui shida ni nini
 
Mwanaume anashindwa nini kuongea na mkewe ili aridhishwe hadi anafanya maamuzi ya kwendakucheat
Sasa kwani mwanaume anacheat kwakua haridhishwi!?. Wanaume wengi wanacheat kwa tamaa za kimwili, mke ana gubu ashaongea wee lkn mtu habadiliki anaona Bora akatafute faraja nje.
 
Ooh inawezekana lakini Kwa Msingi wa dini. Lakini kina vishawish vidogo vidogo mathali kuitwa/kusimamishwa njiani na kuombwa namba. Hivi uliviepuka vipi au ulikua unagawa namba ya uongo.
Nilikuwa sigawi namba , nikisimamishwa sisimami au nikisimama jibu langu Huwa mimi ni mke wa mtu Kisha nasepa hata nafasi ya kubagain sikupi.
Maana nawazaga nikigawa namba mimi na nayeye tunaongea nini!??.
 
hahahaa ila wewe nimjinga kwel kama jina lako

Sema wakuu kwa maisha ya sasa ndoa ni ufirauni,nimetoka kulomba mke wa mtu,anamatako malaini sana,oeni
Hahahaaa manina
 
Mmmh nyege zinawaponza sasa,lazima mfumaniwe
 
Sasa kwani mwanaume anacheat kwakua haridhishwi!?. Wanaume wengi wanacheat kwa tamaa za kimwili, mke ana gubu ashaongea wee lkn mtu habadiliki anaona Bora akatafute faraja nje.
Narudi pale pale, wake wote wana gubu? Wasio na gubu wana chitiwa kwa sababu gani?
 
Shem imebidi nisome, story tam unahisi upo ndani yake.🤣🤣

Usiku nilipitia ile ya Patrick, nayo nzuri balaa, hawa jamaa wanajua kusimulia.

Mbona naona wenzetu wana bahati sana kupendwa, sisi wengine tuna nini???
tatizo upare nahisi umezidi kaka angu
 
Shida wakiwa na wanaowazidi umri hawawi hivyo sijui shida ni nini
Mkuu waliowazidi umri kuna code hawaipitii ile wanayotaka wao. Mfano mimi hata sikutegemea kama ninaweza miliki mwanamke kama yule kwa sababu alikua na muonekano very rich na anatoka na watu wenye hadhi ila alipoa kwangu hata mimi sikuamini.
 
Nilikuwa sigawi namba , nikisimamishwa sisimami au nikisimama jibu langu Huwa mimi ni mke wa mtu Kisha nasepa hata nafasi ya kubagain sikupi.
Maana nawazaga nikigawa namba mimi na nayeye tunaongea nini!??.
Safi Ulijitajidi. Na vipi kipindi cha joto ulihimili vipi mikiki.
 
Mkuu waliowazidi umri kuna code hawaipitii ile wanayotaka wao. Mfano mimi hata sikutegemea kama ninaweza miliki mwanamke kama yule kwa sababu alikua na muonekano very rich na anatoka na watu wenye hadhi ila alipoa kwangu hata mimi sikuamini.
Kaka hizi mambo ni kama utaijiri tu. Wengine wanautafuta kwa nguvu zote lakini wengine wanazaliwa ndani ya familia za kitajiri. Kuna time unawaza hivi duh imewezekanaje hii mali safi naruka nayo Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…