Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Mwandiko mzuri πŸ™Œ although.. mko na dhambi ya kuua kiumbe kisichokuwa na hatia kwa starehe zenu wenyewe
.
Fanya toba mzee, rehma za Mwenyezi MUNGU ni nyingi sana
 
CATTY NI RECHO ?

Salaam wadau,

Sijui hapo una Hali gani ila yote yanatokea kwasababu tumshukuru Mungu. Leo nakukutanisha na Catty, utaniambia tofauti yake na Recho baadae. Mimi nimeshindwa kuwatofautisha.

Karibu!

Ni kawaida yangu kupitiapitia matangazo ya tours especially hizi weekend gateways. Napenda kurefresh baada majukumu kadha wa kadha japo sio mara kwa mara. Na ndio huku nakutana na Catty.
Hii 'Getaway trip' ilikua ni ya siku mbili usiku mmoja (2 Days 1 Night).

Kwa faida ya wengi 'Getaway Trip' ni safari nje ya eneo lako la makazi au kazi kwa lengo la, si pekee lakini kupata uzoefu mpya kwa kutalii na mapumziko. Inaweza ikawa kuweka kambi katika msitu, kupanda milima au kuzuru kisiwa. Si hivo tu lakini pia hata maeneo yenye kutoa huduma zenye uzoefu wa kipekee na tofauti.

Sasa tuendelee,
Baada ya kuielewa package ya tour nikajiunga na hio team ya wadau kama kumi na tano hivi. Eneo la kuenjoy ilikuwa ni Bagamoyo. Kuna chimbo kwa kipindi kile lilikuwa bado bichiii na watu hawamiminiki sana kama ilivyo sasa. Hio kiwanja ipo Mlingotini. Jina sitataja na najua wadau watakutajia kwenye comment.

Jamaa wa tour walijipanga fresh, tulitumia usafiri poa sana wa alphard mbili na hata location ilikua super pamoja na shughuli zote jumuishi.

Catty ni mmoja wa tuliokuwa kwenye hii trip. Baada ya ratiba zote siku ya kwanza kukamilika ni usiku sasa tupo tuna vibe'ka wale Moja baridi Moja moto sawa, sie wa kuchoma nyama nakuimba karaoke mambo ni Texas.

Mida Kama ya saa tano usiku nilienda kukaa eneo flani ni karibu kabisa na bahari maana hapa tulipo ni almost beach. Not parse. Wakaja wadada wawili wakaomba niwapige picha, wote wapo ndiii. Nikachukua simu yao then nikawapiga picha ila Mmh! Hapana hapa Catty tayari nishaanza kumuelewa. Zoezi lilichukua dakika chache sana then mmoja kaniuliza. Catty " Ei vipi umekaa mwenyewe..join us to have fun". Mimi " ooh! Sure".

Nakubali kuungana nao. Pale ni Catty na dada yake. Z nimeongezeka. Nilichogundua wote wamekunywa na wamelewa ila kule kwenye vibe wamekimbia usumbufu. Inaonekana wadau walishaanza kujaribu bahati mapema.

Elewa hii, kwenye hizi tour za group mara nyingi mnakutana watu msiofahamiana hivo kujenga chemistry au bond na mtu itategemea sana level yake ya kusocialize na 'exposure'. Nikaungana nao tukaanza kutembea kuelekea baharini kabisa.

Hapa napo nilikuja kuamini pombe inauhusiano na Ngeli asee. Duh! Catty anachapa slengi, dada yake mulemule anajibu mapigo. Kuna sentensi wanaongea mpaka wakiihitaji comment yangu Z napiga tu 'Yes' au 'sure'.

Kati ya mengi walioongea Mojawapo ni Catty anamshtakia dada yake kuna mwana kamshikisha laki Catty walale wote ule usiku. Yeye kaona kama amedharauliwa kwa kuonekana kama Malaya tena Kwa kumkadilia mpaka bei laki Moja. Kwahiyo hapo wanajaribu kumsimanga mwanetu aliejaribu bahati.

Kwa hapa tulipo Leo usiku malazi ni mahema/tents. Mtu mmoja Hema Moja Yale madogo lakini huzuiliwi kuongeza kampani yako. Unawezajiuliza Catty ni mdogo kiasi hiko kushitaki kwa dada yake. No, kwa kipindi nakutana nae alikua 24. Si mtoto kabisa.

Ni saa sita kasoro usiku tunarudi camping site, hapo nikaona nimekula unit sana ngoja nideal na Catty hata kama kalewa ataelewa tu kile nataka. Nikataka kumfahamu yeye ni nani na anafanya issue gani then straight to the point Hali ya Jimbo ipoje.

Sister yake naona alijiongeza tu baada ya kukaribia mahema akamuaga mdogo wake akimuelekeza Hema atakalo lala na asitumie muda mrefu kubaki nje.

Sasa hapa Catty kalewa. Nauliza swali hili anajibu nusu kabla hajamaliza ananiuliza nimemuuliza nini. Kabla hatujafika mbali kwenye maongezi simu yake ikaita. Akacheck jina fasta akapokea huku anarudi
kule tulipotoka....




Edo kissy Monetary doctor Lily Tony Vien Labella
 
Shukrani mkuu naendelea kufuatilia. ephen_
 
Bruh ....... Akarudi mlipotoka! Najua namba ulichukua pale pale au ukaze asiende ama ulimngoja πŸ˜‚
 
Haswaa! Kwa Leo ni ishara ya upendo ila kwa kesho inarudi kuwa ishara ya hatari au damu.

Sasa Monetary doctor nachotaka ukielewe hapo ni, Unapoichagua rangi Nyekundu popote kama ishara ya upendo basi ujue hatari na damu ni complementary zake.
 
Haswaa! Kwa Leo ni ishara ya upendo ila kwa kesho inarudi kuwa ishara ya hatari au damu.

Sasa Monetary doctor nachotaka ukielewe hapo ni, Unapoichagua rangi Nyekundu popote kama ishara ya upendo basi ujue hatari na damu ni complementary zake.
Nimekuelewa lakini napenda black color! Tatizo ni hatuna design za maua hayo..... Bas red ikiwepo kidg sana lkn sio red whole box, huwa nakuwa not attracted

Naam iko hivyo kakangu
 
MAELEZO YAKO KAMA UPO KULE GEITA IV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…