Hivi ndivyo vijana Waarabu wa "Palestina", Walivyokosa adabu!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Hivi ndivyo vijana Waarabu wa "Palestina", ambao wengi wenu mnawaunga mkono, huwatendea mbwa na kukosa adabu kwa wazee katika jamii zao.

Bila kuchokozwa kabisa vijana hawa walio kosa adabu wali pigwa na kumuua mbwa wa yule mzee kana kwamba sio kitu na bado wanagombana naye.

Hawa ndio washenzi wanaowapenda sana watu na kushabikia na nchi za Magharibi

Hili ni jambo la kawaida sana katika jamii zao, huwafanyia wanyama machukizo ikiwa ni pamoja na kuwachoma moto wakiwa hai hawa ndiyo tabia za waarabu wanalea kizazi cha nyoka hawafai kabisa katika jamii iliyostaarabika.

Hilo tukio limetokea Bethlehemu hio sehemu inaitwa Beit Jala, ni west bank na huko Beit Jala ni mji wanaishi waarabu wakristo...
Hio video umeikata , hanzo cha huyo kijana kumpiga huyo mbwa ni baada ya huyo mbwa kutaka kumg'ata..

View: https://x.com/i/status/1929629530999632236

Wewe ndugu unajua kusoma kiarabu!.?. Soma hapo juu pameandikwaje? Kama hujui niambie nikupe tafsiri!!! Siku zingine acheni kushabikia vitu usivyovijua mnatia aibu sana.

Huyo mbwa alikuwa amefungwa Kamba na ameshikiliwa na Mzee huyo aliyekuwa anatembelea naye sasa wewe kama unasema alitaka kumg’ata angeliwezaje wakati amefungwa na anatembea na mwenyewe?

Acha kutetea upumbavu mbwa mwenyewe ni Pet-dog!! Vijana hao walichokifanya ni utovu wa adabu kwa hiyo Mzee na kwa huyo mbwa. Na ndiyo maana wanafanya ujinga huo kwa wababe wenzao wanapigwa na wajinga kama wewe mnaanza kubwabwaja ovyo kuwa Israel inaua watoto!! Huo ni ujinga na upumbavu kuua mnyama kwa ukatili namna hiyo.

Wengine hatushangai maana hata Binti zetu waliopelekwa huko uarabuni ndiyo maana wanateswa kama mbwa wanatumikishwa kama punda. Waarabu si watu ni nusu watu(Sub-Human) kwa vitendo wanavyovifanya kwa watu!!!
 
Ujinga wote unaoandika hauhalalishi wananchi wa Palestina wanavyotendewa...
Kuhusu wanaoteswa huko nje ya nchi wanateswa wapalestina?
Na hii video umeiweka kinafiki kaa kuhalalisha mauaji dhidi ya wapalestina, punguza unafiki ndugu...

Hao vijana kumpiga huyo mbwa, haihalalishi Palestinians wauawe kikatili hivyo, mbona huzungumzii hao wapalestina wengine kama huyo mama aliyekuja na kumuangalia huyo mbwa kisha akambeba na kumpeleka kupata huduma?

Vipi na hii unaizungumziaje muIsraeli aliyeua mkewe wa Uganda akamtupa shimoni...
Screenshot 2025-06-03 115625.png
 
Hivi ndivyo vijana Waarabu wa "Palestina", ambao wengi wenu mnawaunga mkono, huwatendea mbwa na kukosa adabu kwa wazee katika jamii zao.

Bila kuchokozwa kabisa vijana hawa walio kosa adabu wali pigwa na kumuua mbwa wa yule mzee kana kwamba sio kitu na bado wanagombana naye.

Hawa ndio washenzi wanaowapenda sana watu na kushabikia na nchi za Magharibi

Hili ni jambo la kawaida sana katika jamii zao, huwafanyia wanyama machukizo ikiwa ni pamoja na kuwachoma moto wakiwa hai hawa ndiyo tabia za waarabu wanalea kizazi cha nyoka hawafai kabisa katika jamii iliyostaarabika.

View attachment 3354321
Hii jamii ambayo ni kizazi cha Ishmaeli wengi ni laana tupu kwa dunia
 
Ujinga wote unaoandika hauhalalishi wananchi wa Palestina wanavyotendewa...
Kuhusu wanaoteswa huko nje ya nchi wanateswa wapalestina?
Na hii video umeiweka kinafiki kaa kuhalalisha mauaji dhidi ya wapalestina, punguza unafiki ndugu...

Hao vijana kumpiga huyo mbwa, haihalalishi Palestinians wauawe kikatili hivyo, mbona huzungumzii hao wapalestina wengine kama huyo mama aliyekuja na kumuangalia huyo mbwa kisha akambeba na kumpeleka kupata huduma?

Vipi na hii unaizungumziaje muIsraeli aliyeua mkewe wa Uganda akamtupa shimoni...
View attachment 3354425
Acha mihemko ya kijinga!! Mwanzoni ulitetea hao vijana kumuua huyo mbwa nikakuuliza wewe unajua kusoma kiarabu? Unajua hapo wameandikaje? Nika sema kama hujui useme mimi nikusaidie maana umetia aibu sana kwa kuweka hiyo tweet unavyodai wewe tofauti na aliyeandika kwenye hiyo Tweet.

Pia nilisema watoto kuwa watovu wa nidhamu hata kwa wazee kama huyo ni janga la kitaifa na ndiyo maana wanakutana na wababe wenzao wanapigwa sana na wajinga kama nyie mnabaki kubwabwaja frii frii Palestina tu!! Tatizo kubwa liko kwenye malezi wazami wao hawana adabu hivyo na watoto wao lazima tu watakosa adabu!!!!

Nakushangaa wewe kurukia ya Uganda ili uhalalishe ujinga na upumbavu wa waarabu!! Hata hiyo ya Uganda huyo alikuwa yuko sahihi kibinadamu wewe utunze Mke mpaka mimba unaambiwa mtoto wako umesomesha harafu mwanamke atakują ku kuambiwa huyo si mtoto wako na unaenda kuhakiki kwenye DNA unaambiwa kweli si mtoto wako!! Kibinadamu hiyo Inaweza kutokea ukachukua Halua kali kwa mtuhumiwa.

Lakini USHENZI walioufanya hao vijana si wa kutetewa na mtu makini wajinga tu na wapumbavu watatetea ujinga huo
 
Acha mihemko ya kijinga!! Mwanzoni ulitetea hao vijana kumuua huyo mbwa nikakuuliza wewe unajua kusoma kiarabu? Unajua hapo wameandikaje? Nika sema kama hujui useme mimi nikusaidie maana umetia aibu sana kwa kuweka hiyo tweet unavyodai wewe tofauti na aliyeandika kwenye hiyo Tweet.

Pia nilisema watoto kuwa watovu wa nidhamu hata kwa wazee kama huyo ni janga la kitaifa na ndiyo maana wanakutana na wababe wenzao wanapigwa sana na wajinga kama nyie mnabaki kubwabwaja frii frii Palestina tu!! Tatizo kubwa liko kwenye malezi wazami wao hawana adabu hivyo na watoto wao lazima tu watakosa adabu!!!!

Nakushangaa wewe kuruka ya Uganda ili uhalalishe ujinga na upumbavu wa waarabu!!
Ina maana hujui twitter kuna translator? hata yutube kwenye comment section ipo, usitake kujitia ujuaji, unafikiri nimefahamu vipi hapo ni Bethlehemu, nimefahamu vipi hilo eneo..

Halafu unazungumza kitu hukielewi, hao kwenye video ni Palestinians wa west bank, wanaopambana na IDF ni wa Gaza...

Sasa katika malezi nani ambao hawana malezi na maadili kati ya hawa watoto wa kiyahudi wakiwafukuza hao evangelical christians na hao vijana wa west bank waliompiga mbwa?
Kwa huu ubaguzi sishangai Palestinians kupigana nao, huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu...

Yaani wanawafukuza wageni waliokwenda kudhuru kama watalii... hao hao wazungu ndio wanawasaidia pesa na kila kitu halafu wanawafukuza...

View: https://www.youtube.com/shorts/vio53jUpJz0?feature=share

Na hizi ni comments...
Screenshot 2025-06-03 122509.png

Hapo wanawabagua wamarekani, je wewe mkristo na myahudi feki kutoka Kigoma Kibondo watakufanya nini?
 
Muarabu kwenye dini yake aliwaamrisha wachukie mbwa
  • The Prophet said, “Angels do not enter a house which has either a dog or a picture in it,” (Hadith Bukhari 4:539).
 
Ina maana hujui twitter kuna translator? hata yutube kwenye comment section ipo, usitake kujitia ujuaji, unafikiri nimefahamu vipi hapo ni Bethlehemu, nimefahamu vipi hilo eneo..

Halafu unazungumza kitu hukielewi, hao kwenye video ni Palestinians wa west bank, wanaopambana na IDF ni wa Gaza...

Sasa katika malezi nani ambao hawana malezi na maadili kati ya hawa watoto wa kiyahudi wakiwafukuza hao evangelical christians na hao vijana wa west bank waliompiga mbwa?
Kwa huu ubaguzi sishangai Palestinians kupigana nao, huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu...

Yaani wanawafukuza wageni waliokwenda kudhuru kama watalii... hao hao wazungu ndio wanawasaidia pesa na kila kitu halafu wanawafukuza...

View: https://www.youtube.com/shorts/vio53jUpJz0?feature=share

Na hizi ni comments...
View attachment 3354457

Hapo wanawabagua wamarekani, je wewe mkristo na myahudi feki kutoka Kigoma Kibondo watakufanya nini?

Halafu unazungumza kitu hukielewi, hao kwenye video ni Palestinians wa west bank, wanaopambana na IDF ni wa Gaza...
Hivi wewe una akili kweli? Kuna tofauti gani kati ya waarabu wa Gaza na West-Bank? Hao ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa!!!

Kama ulikuwa hujui Majeshi ya Israel yako huko west-Bank kupambana na magaidi toka mwezi wa kwanza Mwaka huu 2025 IDF unafanya Operation za kijeshi huko na Magaidi wengi mno wamefyekelewa mbali wewe hujui huko West-Bank kuna kundi la kigaidi linalijiita Den of Lions? Pole sana kwa ujinga huo!!!!
Ina maana hujui twitter kuna translator? hata yutube kwenye comment section ipo, usitake kujitia ujuaji, unafikiri nimefahamu vipi hapo ni Bethlehemu, nimefahamu vipi hilo eneo..
kama wewe unajua kuna Translator umeshindwa nini kuitumia mpaka Unajivua nguo hadharani?

Nasema tena ninyi ni wajinga sana mnatumika tu vibaya hicho kipande kidogo cha video umemezeshwa Ujinga na Upumbavu tu!! Je unajua mwanzo ulikuwaje mpaka I kąciki a hapo? Au nini kilosa Babiś ha hayo? Najua hujui kwa sababu ni mazuzu mnafakamia kila jambo bila kujiuliza!!!!
 
Hivi wewe una akili kweli? Kuna tofauti gani kati ya waarabu wa Gaza na West-Bank? Hao ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa!!!

Kama ulikuwa hujui Majeshi ya Israel yako huko west-Bank kupambana na magaidi toka mwezi wa kwanza Mwaka huu 2025 IDF unafanya Operation za kijeshi huko na Magaidi wengi mno wamefyekelewa mbali wewe hujui huko West-Bank kuna kundi la kigaidi linalijiita Den of Lions? Pole sana kwa ujinga huo!!!!

kama wewe unajua kuna Translator umeshindwa nini kuitumia mpaka Unajivua nguo hadharani?

Nasema tena ninyi ni wajinga sana mnatumika tu vibaya hicho kipande kidogo cha video umemezeshwa Ujinga na Upumbavu tu!! Je unajua mwanzo ulikuwaje mpaka I kąciki a hapo? Au nini kilosa Babiś ha hayo? Najua hujui kwa sababu ni mazuzu mnafakamia kila jambo bila kujiuliza!!!!
Ila echolima huwa haukubali kabisa kushindwa

Huyu ndugu yangu unayebishana naye and 100 others siyo kobazi ni msabato mwenzio
 
Back
Top Bottom