Hivi ndivyo Wananchi wenye hasira walivyompiga Daktari Bingwa wa Mloganzila aliyemshambulia Askari

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Your browser is not able to display this video.
Ikumbukwe kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026, baadaye Jeshi la Polisi likatoa taarifa kuwa linamshikilia dereva huyo ambaye alitambulika kuwa ni Conrad Agonza Kayoza (35), Daktari Bingwa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na mkazi wa Lugalo na Mloganzila, kuwa alipelekwa hospitali baada ya kushambuliwa na Wananchi waliochukizwa na tukio hilo.

Tukio hilo lilitokea majira ya Saa 1:30 Asubuhi katika eneo la Lugalo, barabara ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam.

Pia soma:
~
Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU
~ MAT yatoa tamko kuhusiana na daktari aliempiga traffic
~ Polisi: Conrad Agonza Kayoza anashikiliwa kwa kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari wa Usalama barabarani
 
Murilo analeta usanii wake na uongo uongo....Huyu Dr ameteswa na polisi wa Oysterbay kalakana.
 
Huyo askari aliyeshambuliwa yuko wapi sasa hivi? Au hakuumia kiasi cha kupelekwa hospitali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…