Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

Unawezaje kumuumba mtu ili baadae uje umchome kwenye tanuru la moto? Kama baba zetu hapa duniani hawawezi thubutu hata kuwaza kutuchoma inakuwaje yeye aamue kuchoma viumbe wake?.... kwanini asimchome shetani anayeshawishi watu upuuzi?
 
Ndo watu mliookoka mnajibu hivi?
Mungu sio mjomba. Leo watu wanapuuza Neno lake, as if Mungu ni mjomba wao. Siku inakuja ambapo ghadhabu ya Mungu itadhihirika kwa wote wanaodharau neema yake na wokovu wake.
Warumi 2:4-5
Au waudharau wingi wa wema, ustahimili na uvumilivu wake, bila kujua kuwa wema wa Mungu wakuelekeza kwenye toba? Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.
 
Unawezaje kumuumba mtu ili baadae uje umchome kwenye tanuru la moto? Kama baba zetu hapa duniani hawawezi thubutu hata kuwaza kutuchoma inakuwaje yeye aamue kuchoma viumbe wake?.... kwanini asimchome shetani anayeshawishi watu upuuzi?
Kipi cha ajabu, mkuu.
Hujaona mfinyanzi anayetengeneza chungu baadaye anakibomoa bomoa? Mungu ametupa masharti ya kuishi, kama hatuyafuati ni haki yake kutuchoma.
 
Maisha yetu hapa shitholeni ni kuzimu tayari, kumbe kenge tuna mateso mengine mbele ya safari? Hatari tupu hope itakua chai hii

Nimesoma heading tu though
 
Chai? Ohoo. Wakati wa Nuhu, watu walifikiri maonyo ya Nuhu kwamba gharika itakuja ni chai, mpaka maji yalipowafika shingoni ndio wakatambua kuwa ni kweli. Tafadhali soma mada yote kisha utubu, kabla wakati huo haujafika.
 
Wewe mama mchungaji taratibu kwanza, kwani kuna kiumbe hakizini hapa duniani?
Au nyie mlio kwenye ndoa ndo mnataka peke yenu mlombwe? 😹😹😹

*Kuzini ni kuzini, hata mama yake Yesu alipatikana kwa midinyano. ✅

*Kulewa ntalewa sana Yesu mwenyewe aliwalewesha watu kwenye harusi kwa mvinyo uliochachuka. ✅

Hiyo mbingu haipo usitutishe, wewe uliiona? Ulifika ukaikuta?
Hahahaaaa yan kwa hii comment nasema umefunga kipindi cha motoni
 
Chai? Ohoo. Wakati wa Nuhu, watu walifikiri maonyo ya Nuhu kwamba gharika itakuja ni chai, mpaka maji yalipowafika shingoni ndio wakatambua kuwa ni kweli. Tafadhali soma mada yote kisha utubu, kabla wakati huo haujafika.
Stories tu hizi mkuu! Za kufikirika
 
Stories tu hizi mkuu! Za kufikirika
Si ajabu hata Israeli walifikiri Iran wanawaambia story za kufikirika hadi pale walipoona mabomu ya Sejil, Fattah-1 na Kheibar Shekan yanayopenya mifumo ya ulinzi ya Israeli.

Si ajabu Iran nao walifikiri Trump anawaambia story za kufikirika hadi walipoambiwa kwamba kiwanda chao cha kurutubisha nuclear kimefumuliwa na mabomu ya bunker‑buster.

Subiri Yesu yuaja upesi, ndio utajua kuwa ulikuwa hujui kwamba hizi sio stories, ni habari njema za wokovu. Ila ukisubiri siku hiyo utakuwa umechelewa kutubu. Mlango wa neema utakuwa umefungwa
 
Mungu sio mjomba. Leo watu wanapuuza Neno lake, as if Mungu ni mjomba wao. Siku inakuja ambapo ghadhabu ya Mungu itadhihirika kwa wote wanaodharau neema yake na wokovu wake.
Warumi 2:4-5
Au waudharau wingi wa wema, ustahimili na uvumilivu wake, bila kujua kuwa wema wa Mungu wakuelekeza kwenye toba? Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.
Wewe huna tofauti na wafuasi wa Mckenzie kule Kenya. Una ujinga mwingi
 
Amen kwa Ujumbe Mzuri wa kutukumbusha, Nashukuru Mungu Nimeokoka na nasikia Aman ndani ya Yesu,Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai Ndiye Njia Kweli na Uzima Yohana sura 14 Mstari 6
 
Tofauti yangu na hao unaowataja ni hii: Mimi namtangaza Yesu aliye hai, si kwa udanganyifu wala kwa kuwatesa watu, bali kwa kuwaambia jinsi ya kupata uzima wa milele. Lakini ni kawaida kwa wale wanaopinga kweli kutuita wajinga sisi tunaotangaza Injili. Hata Yesu mwenyewe walimwita mwenye pepo.

“Kwa maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.”
(1 Wakorintho 1:18)
 
Amen kwa Ujumbe Mzuri wa kutukumbusha, Nashukuru Mungu Nimeokoka na nasikia Aman ndani ya Yesu,Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai Ndiye Njia Kweli na Uzima Yohana sura 14 Mstari 6
Ameen, ubarikiwe sana kwa uamuzi ulioufanya wa kuokoka.
 
Maisha yetu hapa shitholeni ni kuzimu tayari, kumbe kenge tuna mateso mengine mbele ya safari? Hatari tupu hope itakua chai hii

Nimesoma heading tu though
Heading ikiandikwa vizuri huwa inabeba full story
 
Back
Top Bottom