MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mungu sio mjomba. Leo watu wanapuuza Neno lake, as if Mungu ni mjomba wao. Siku inakuja ambapo ghadhabu ya Mungu itadhihirika kwa wote wanaodharau neema yake na wokovu wake.Ndo watu mliookoka mnajibu hivi?
Kipi cha ajabu, mkuu.Unawezaje kumuumba mtu ili baadae uje umchome kwenye tanuru la moto? Kama baba zetu hapa duniani hawawezi thubutu hata kuwaza kutuchoma inakuwaje yeye aamue kuchoma viumbe wake?.... kwanini asimchome shetani anayeshawishi watu upuuzi?
Chai? Ohoo. Wakati wa Nuhu, watu walifikiri maonyo ya Nuhu kwamba gharika itakuja ni chai, mpaka maji yalipowafika shingoni ndio wakatambua kuwa ni kweli. Tafadhali soma mada yote kisha utubu, kabla wakati huo haujafika.Maisha yetu hapa shitholeni ni kuzimu tayari, kumbe kenge tuna mateso mengine mbele ya safari? Hatari tupu hope itakua chai hii
Nimesoma heading tu though
Hahahaaaa yan kwa hii comment nasema umefunga kipindi cha motoniWewe mama mchungaji taratibu kwanza, kwani kuna kiumbe hakizini hapa duniani?
Au nyie mlio kwenye ndoa ndo mnataka peke yenu mlombwe? 😹😹😹
*Kuzini ni kuzini, hata mama yake Yesu alipatikana kwa midinyano. ✅
*Kulewa ntalewa sana Yesu mwenyewe aliwalewesha watu kwenye harusi kwa mvinyo uliochachuka. ✅
Hiyo mbingu haipo usitutishe, wewe uliiona? Ulifika ukaikuta?
Stories tu hizi mkuu! Za kufikirikaChai? Ohoo. Wakati wa Nuhu, watu walifikiri maonyo ya Nuhu kwamba gharika itakuja ni chai, mpaka maji yalipowafika shingoni ndio wakatambua kuwa ni kweli. Tafadhali soma mada yote kisha utubu, kabla wakati huo haujafika.
Si ajabu hata Israeli walifikiri Iran wanawaambia story za kufikirika hadi pale walipoona mabomu ya Sejil, Fattah-1 na Kheibar Shekan yanayopenya mifumo ya ulinzi ya Israeli.Stories tu hizi mkuu! Za kufikirika
SawaKipi cha ajabu, mkuu.
Hujaona mfinyanzi anayetengeneza chungu baadaye anakibomoa bomoa? Mungu ametupa masharti ya kuishi, kama hatuyafuati ni haki yake kutuchoma.
Wewe huna tofauti na wafuasi wa Mckenzie kule Kenya. Una ujinga mwingiMungu sio mjomba. Leo watu wanapuuza Neno lake, as if Mungu ni mjomba wao. Siku inakuja ambapo ghadhabu ya Mungu itadhihirika kwa wote wanaodharau neema yake na wokovu wake.
Warumi 2:4-5
Au waudharau wingi wa wema, ustahimili na uvumilivu wake, bila kujua kuwa wema wa Mungu wakuelekeza kwenye toba? Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.
Tofauti yangu na hao unaowataja ni hii: Mimi namtangaza Yesu aliye hai, si kwa udanganyifu wala kwa kuwatesa watu, bali kwa kuwaambia jinsi ya kupata uzima wa milele. Lakini ni kawaida kwa wale wanaopinga kweli kutuita wajinga sisi tunaotangaza Injili. Hata Yesu mwenyewe walimwita mwenye pepo.Wewe huna tofauti na wafuasi wa Mckenzie kule Kenya. Una ujinga mwingi
Ameen, ubarikiwe sana kwa uamuzi ulioufanya wa kuokoka.Amen kwa Ujumbe Mzuri wa kutukumbusha, Nashukuru Mungu Nimeokoka na nasikia Aman ndani ya Yesu,Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai Ndiye Njia Kweli na Uzima Yohana sura 14 Mstari 6
Tumia ChatGPT to summarize the threadnaomba summary
Heading ikiandikwa vizuri huwa inabeba full storyMaisha yetu hapa shitholeni ni kuzimu tayari, kumbe kenge tuna mateso mengine mbele ya safari? Hatari tupu hope itakua chai hii
Nimesoma heading tu though