Jaman hivi ninyi watu mtaelewa lini hizi ponzi scheme ? Bro hii mifumo aliianzisha bwana mkubwa mmoja Muitaliano (Mhuni wa Torino) anaitwa Charles Ponzi, kwamba early investors watalipwa na new investors alafu wanaiua. Kinachonishangaza unaamini kabisa wamekwamishwa na serikali? Kwan mkuu mnakuwaga mmelishwa madawa ya kuleta? Hawajakwamishwa na gavament hawa wametembea kibingwa ila kwakuwa wana associates ambao ninyi mnawajua ni wabongo wenzenu basi hiyo kukwamishwa ni mbinu ya kuwauliza, mkuu amka usingizini saivi ni mchana watu kariakoo wanauza bidhaa wengine wanaibia wateja ilimradi zote kazi na zote wanapata kipato, hakuna hela yakudownload...