Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
DECI ilimeza watu wengi sana maana waliipenyeza kwenye taasisi za kidini za kilokole. Fikiria watu walivyonazwa.
Watu walitoa pesa kwenye account zao za bank, wengine walikopa ilimradi wapande waendelee kuvuna. Chuoni kulikuwa na in-service fulani mke na mume walikuwa wanaingiziwa boom kila mmoja 3M. Wakazichanga zote 6M wakazipanda bwana. Week moja mbele Mzee Pinda anaifunga DECI na kutupa ndani baadhi ya
DuhDECI ilimeza watu wengi sana maana waliipenyeza kwenye taasisi za kidini za kilokole. Fikiria watu walivyonazwa.
Watu walitoa pesa kwenye account zao za bank, wengine walikopa ilimradi wapande waendelee kuvuna. Chuoni kulikuwa na in-service fulani mke na mume walikuwa wanaingiziwa boom kila mmoja 3M. Wakazichanga zote 6M wakazipanda bwana. Week moja mbele Mzee Pinda anaifunga DECI na kutupa ndani baadhi ya wahusika. Ilikuwa balaa