Hivi ndiyo kusema hela zangu nilizoweka LBL ndiyo zimepotea ama TCRA na BoT watanirudishia?

Hivi ndiyo kusema hela zangu nilizoweka LBL ndiyo zimepotea ama TCRA na BoT watanirudishia?

Mtu aje tuanzishe scam yetu na sisi, maana inaonekana kuna pesa nyingi sana za bure bure upande huo na watu hawajawahi kujifunza kutokana na matukio ya nyuma.... Patterns recorgination nalo ni somo gumu sana inaonekana kwa watized wengi (hasa walimu😅).
Nilikuwa na hilo wazo kama vipi tuungane tupige hela maana kuna washkaji huku chuoni eti wanasema wanajichanga wapate mtaji wa kujiunga na kampuni kama hizo
 
Dunia hii Ina nchi nyingi lakini sijui kwanini ni Tanzania tu ndo ikajaliwa wajinga wengi kiasi hiki.......!

Si tungegawanywa kidosgo kidogo Kila nchi ili Tanzania nayo ipumue......!
 
Nilikuwa na hilo wazo kama vipi tuungane tupige hela maana kuna washkaji huku chuoni eti wanasema wanajichanga wapate mtaji wa kujiunga na kampuni kama hizo
Itabidi tuanze na hao😂😂😂😂
 
Dunia hii Ina nchi nyingi lakini sijui kwanini ni Tanzania tu ndo ikajaliwa wajinga wengi kiasi hiki.......!

Si tungegawanywa kidosgo kidogo Kila nchi ili Tanzania nayo ipumue......!
Soma hiyo
 
Attachments

  • IMG-20250216-WA0001.jpg
    IMG-20250216-WA0001.jpg
    66.3 KB · Views: 2
Nani tapeli, DECI au serikali, yaani nani aliyepora hela za watu kinguvu,?
Watu wameamua kuchangishana hela, Leo wanampa huyu, baadae wanachanga wanampa mtu mwingine, halafu ghafra serikali imawapora zile hela, eti hawana kibali, nani mwizi
Biashara haramu haitetewi Wekeza for your own risk. Hata bangi watu wanatumia nguvu zao lakini Siku ukitiwa nguvuni na serikali usiilalamikie. Hizi Pyramid schemes ni hatari sana kwa wananchi na taifa. Ninacholaumu serikali wanachelewq sana kuzichukulia hatua
 
Tulionya humu na kuna mda alileta mada 2 kabisa kuwatahadharisha wenye tamaa za hela za bure.
Ila sikio la kufa......
 
Nilikuwa na hilo wazo kama vipi tuungane tupige hela maana kuna washkaji huku chuoni eti wanasema wanajichanga wapate mtaji wa kujiunga na kampuni kama hizo
Nakumbuka nikiwa chuo 2009 miezi kama hii mzee Pinda anaifungia DECI na kuchukua more than 1B watu waliishi magumu sana. Wapo walioweka ada na wengine boom ili waendelee kula maisha. Mambo yalikuwa magumu mnoo. Unamwambiaje mzazi DECI imesepeshwa na fedha ya ada?

Wakati huohuo ilikuwepo pyramid scheme nyingine ilitwa Tumaini. Bado watu walienda kuwekeza huko kupanda mbegu ziote. Kwa hiyo tusishangazwe watu wakiendelea kuwekeza kwenye pyramid schemes zingine.
 
Nilikuwa na hilo wazo kama vipi tuungane tupige hela maana kuna washkaji huku chuoni eti wanasema wanajichanga wapate mtaji wa kujiunga na kampuni kama hizo
Hakikisha una sapoti ya watu wazito wa kukulinda otherwise utakua mfano wa kuigwa.
 
Hivi ni mimi tu najiona ni mgumu sana kuamini hayo mambo ya kupanda na kuvuna sijui networking business...au kuna wengine
Upo na mimi!
Kuna ndugu yangu namuonaga mjanja, jana ndio nimejua alijiunga lbl🤣
 
Back
Top Bottom