Hivi ndiyo kusema hela zangu nilizoweka LBL ndiyo zimepotea ama TCRA na BoT watanirudishia?

Aloo wagumu sana kuelewa wabongo
 
Kuna wao au serikali kuingilia kati kabla ya malengo kutimia
Mkuu serikali haiingiliagi vitu vya kipuuzi wao toka ishue inaanza wanajua ni mfumo wa bwana Charles Ponzi sasa huwa wanachukua chao mapema, serikali iliingilia kati Desi sababu wao ilizidi watu walikuwa hata kazini hawaendi folen ya desi inazid folen ya watu kuingia uwanja wa taifa siku simba ikicheza na yanga, serikali inawaektia tu imengilia kati lakin hela zenu hazirudi, kwani kalynda walifanywa nini walivyowapiga ?
 
Binafsi mimi sipo huko kiongozi, nimetoa tu maoni kulingana na matukio kama hayo kujirudia na wajanja kutoweka na pesa za watu!
 
Serikali haifanyi kazi kijinga namna hii
Umeshamjua mwizi, Utamuua au utambana alipe mali za watu kisha umuadhibu? Hawajakosea kuwahi kabla majanga hayajatokea, Ila kuwatimua kabla hawajarejeshea kile walichochukua haitakuwa fundisho kwa kampuni zingine kama hizo.Binafsi mimi sipo huko kiongozi, nimetoa tu maoni kulingana na matukio kama hayo kujirudia na wajanja kutoweka na pesa za watu!
 
Biashara ya pesa bila vibali na serikali kutopata kodi unaingia kwenye kesi za uhujumu uchumi na money laundering.

Na pesa yoyote ikipatikana kwenye biashara za aina hiyo ni mali ya serikali hairudishwi kwa walengwa. Hiyo imeisha mkuu
Binafsi mimi sipo huko kiongozi, nimetoa tu maoni kulingana na matukio kama hayo kujirudia na wajanja kutoweka na pesa za watu!
 
Binafsi mimi sipo huko kiongozi, nimetoa tu maoni kulingana na matukio kama hayo kujirudia na wajanja kutoweka na pesa za watu!
Huko hapafai kaka hapafai kabisa hili kila sehemu na hautasikia mtu yeyote kashitakiwa na serikali na unakuta kampuni ilisajiliwa BRELA na ilikuwa inalipa kodi vizuri tu ndio ujue utapeli wao unaanzia mbalii
 
Hadi kufika december kampuni za namna hii zaidi ya 10 zitakua zipo na kama kawaida haziwezi kosa watu. So trend ni ile ile kila mwaka.

In short summary kuna uhitaji mkubwa sana wa kipato
 
Kula chuma hicho mkuu cha wana lbl
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…