Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wakati wa Mungu ukifika hakuna anayeweza kuuzuia.
Huu ni wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania na Watanzania dhidi ya siasa za kitapeli, kuhuni na kifisadi ambazo zimefanywa na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sasa na kuwafanya Watanzania wazidi kuwa masikini bila maendeleo ya uhakika kwa miongo na miongo tangu Uhuru.
Pamoja na CCM kujaribu sana kuwatumia madalali na Matapeli wa Kisiasa kama Wabunge wa Covid 19, Mapandikizi ya G55, Wale wahuni kutoka Zanzzibar waliofungua Kesi dhidi ya Chadema pamoja na Vyama vingine vya siasa vikiongozwa na ACT Wazalendo, Watanzania safari hii wamekataa kupumbazwa na hao wajinga walio kwenye payrol ya CCM na TISS na wameamua ku focus kweli kwenye No Reform No Election.
👇Hivi ndo namna Watanzania sasaivi wanawaona madalali wa Kisiasa ikiwemo G55, Covid 19, ACT Wazalendo na wengineo wote.