Hivi ndo vitoto vinavyonyima usingizi wanaume wa Dar

Hivi ndo vitoto vinavyonyima usingizi wanaume wa Dar

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Yaani hawa watoto wanawafanya nyie wanaume wa Dar msilale.....

FB_IMG_16514918852887523.jpg
 
huwezi jua labda hapo panya road ni wawili tu wengine wamesukumiziwa huko na wenyeviti wa mitaa kwa sababu mishe zao hazieleweki
wacha wasukumiziwe ili washike adabu... jamii ina fahamu vyema hawa watu, ina watambua. sema tuna/wana fumbia macho alafu majanga ndio kama hivi yana tokea na tuna athirika wote...

mwisho wasiku atajatiliwa sumu mwanao kisa kujifanya mbabe mtaani... watu hawataki shida ya kumpiga kisa mtoto wa fulani ili tutakane lawama, wana weka sumu akitumia kama pombe, bangi, soda, maji basi Mungu atusamehe...
 
Yaani hawa watoto wanawafanya nyie wanaume wa Dar msilale.....

View attachment 2208576
Hawa wanapokuwa kwenye haya matukio ya uporaji wanakuwa wamelewa kupita kiasi na Bange nyingi kichwani- So usipokuwa makini watakuharibu mwili na mapanga! Aingii akilini watu 20 wanaiba TV au Simu wakauze wagawane hela ! Baada ya hapo wanaishi kama DigiDigi kuogopa vyombo vya usalama
 
hahahahaaa heading imekaa kidharau kichizi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hatari sana…..Chugga wananchi tunamalizana nao kimya kimya……hatutaki kusumbua jeshi la polisi….wana kazi nyingi za kufanya…….
Nyie chugga ni weupe sana hao panya wakija huko kwenu jiji litabaki jeupe ndani ya nusu saa unakumbuka fiesta ya kule chugga mlivyobakwa na watoto wa umbwa!
 
Mkoa nlio kuna walikuwepo mbie za vijiti waliteketea wote waliorudi salama walirudi vilema
 
Back
Top Bottom