Hivi neno NOT SELECTED kwenye ajira portal hata watoto wa wakubwa linawahusu ?

Hivi neno NOT SELECTED kwenye ajira portal hata watoto wa wakubwa linawahusu ?

Wala sijalaumu nimeiliza tu nahitaji ufafanuzi mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20260502-204859.png
    Screenshot_20260502-204859.png
    15 KB · Views: 22
Afu ukienda kwenye alama unakuta una 21 unaangalia juu unakuta wamekata kuanzia 60 kushuka
Hahaha maisha yanatufunza mambo mengi sana aisee sio kidogo hustle hilo la vijana wanaolipitia wale waliopataga ajira mezani ukimwaambia hawaelewi kabisa sababu hawajawahi hata kuandika barua kwenda kwa Katibu Ofisi ya Rais na hawajui hio barua inaandikwa andikwa vipi in short hawaelewi kitu
 
Back
Top Bottom