AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hakuna kitu kinaitwa database ondoeni huo ujinga wa kusadikikaOmba Mungu wasifaulu watoto wa wakubwa maana mtoto wa mkulima atapigwa bench kwanza wanaita database
Hakuna kitu kinaitwa database ondoeni huo ujinga wa kusadikikaOmba Mungu wasifaulu watoto wa wakubwa maana mtoto wa mkulima atapigwa bench kwanza wanaita database
Mkuu namanisha wanatufariji kwa databaseHakuna kitu kinaitwa database ondoeni huo ujinga wa kusadikika
Labda useme hivyo na siku nyingine ukisikia wanaongea database ziba pamba masikioni hapo wanakutoa kwenye mchezo focus yako iwe kupata placement letter sio kupata nafasi kwenye database kiinimacho bloodfackenMkuu namanisha wanatufariji kwa database
Asante kwa kutufungua kakaLabda useme hivyo na siku nyingine ukisikia wanaongea database ziba pamba masikioni hapo wanakutoa kwenye mchezo focus yako iwe kupata placement letter sio kupata nafasi kwenye database kiinimacho bloodfacken
Hamna uhalisia😀 kiuhalisia anatakiwe awepo ila
Pambaneni sana wasiwafumbaze akili zenu na databaseTupambane
Si ndioo. [emoji23][emoji23][emoji23]Watoto wa hao wakubwa wanaambiwa nenda pale ukaanze Kazi, mshahara mwambie HR unaotaka
Kaka una kipaji cha ubishiHakuna kitu kinaitwa database ondoeni huo ujinga wa kusadikika
Jamaa yupo sahihi, ila tukiongea kwa nia ya kupeana moyo bc jamaa hayupo sahihi.Kaka una kipaji cha ubishi
Mimi binafsi nilipata kazi nikitokea database. Elezea usahihi wa jamaa yako upo kwenye eneo lipi?Jamaa yupo sahihi, ila tukiongea kwa nia ya kupeana moyo bc jamaa hayupo sahihi.
Nakupa mfano hai ambao umenitokea mm mwnyw.
Septemba 2025 nilifanya interview inayohitaji watu 3.
December 2025 Hao hao wakatangaza tena nafasi hiyo hiyo wanahitaji watu 5 hata kabla hawajatoa placement ya wale wa Septemba
Januari 2026 wakatoa placement ya ile interview ya September wakachukua wale wale 3 waliotaka.
Turudi kwenye mada, kwahy kwenye ile ya September walifaulu hao hao 3 na wengine zaidi ya 20 tulifeli ndo mana hatukuwepo database hvy wakatangaza wanahitaji wengine?
Mkuu mbona maelezo yangu yanaeleweka, mm sijapinga ishu ya database.Mimi binafsi nilipata kazi nikitokea database. Elezea usahihi wa jamaa yako upo kwenye eneo lipi?