Kumbuka jamaa unayem support anasema kwamba Database haipo kabisaaa, na hicho ndicho ambacho mimi nakikataa.Mkuu mbona maelezo yangu yanaeleweka, mm sijapinga ishu ya database.
Database Ipo Ila haifanyi Kazi kote.
Mimi baada ya kushiriki oral kadhaa na kuona mikeka ya watu wa kada yangu inamwagika hadi imekatika niliacha kabisa hata kufuatilia habari za mikeka, ila ghafla siku moja nikasema nichungulie acc yangu leo, nikashangaa naambiwa Pakua placement letter inayonitaka ni ripoti kwenye idara nyingine kabisa tofauti na niliyo apply mwanzoni, hapo ndipo nikajua database ipo na inafanya kazi.