Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

yaani makobazi wote mkiunganishwa 1q zenu hamfiki IQ ya Netanyahuu

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
kwanini kobazi mkiishindwa vita Israel mnacheza na victim card kuita mauaji ya kimbari?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
hii mada unaweza kukuta ni imeandaliwa na mtu mwenye elimu ya madrasa hata uhakika wa kesho atakunywa chai ndio anamjadili Netanyahuu kiongozi aliyechaguliwa na watu milioni 8 wenye akili

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hata ueleweki mkuu, matajiri wakubwa pale marekani ni mayahudi, Hao Jamaal wanapesa na Wana uwezo wa kuendesha serikali wanavyotaka, wewe ona mambo kama unavyoona.. Kuna muda ujinga ni baraka..
Soma vizuri post yangu namba 1 au namba 2.
Nimesema kama wao ni matajiri kama mnavyolishwa matango pori kwanini wasiutumie utajiri huo kuleta maendeleo ya kiuchumi, kiteknolojia na kielimu katika nchi yao kama walivyofanya wachina, wajapan, wahindi nk?

Tunawezaji kuamini hizi hadhithi wakati hatuoni mageuzi yoyote ya kiuchumi, kiteknolojia na kielimu nchini Israel?
Mtu tajiri, na mwenye akili timamu anawezaje kwenda kujenga uchumi wa nchi ya wenzake huku nchi yake ikiwa omba omba wa nchi nyingine?

Hiyo akili au matope?
 
Sasa IQ ya Netanyahuu utalinganisha na ya Ayatollah baba yenu wa ukobazi anaetoa matamko ya kikatili halafu anajificha na gauni lake

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kobaz na IQ wapi na wapi mkuu?
IQ ni kwenda kuomba msaada wa kodi za wanaume wenzake?

Je siku ukisikia kuwa alikuwa anatoa jicho kabla ya kupewa msaada huo, pia utakuja kumsifu kwa IQ ya kutoa jicho lake?
 
Hata jana alikua huko, et anampendekeza Trump na tuzo ya amani.
Netanyahu mjanga, mnafiki na mlaghai sana. Ni kama tu Motto ya Mossad inavyosema kuwa by the way of deception they shall rule the world.
Wazee wa allah akbar okt7 mnamchukia kwelikweli
 
Mkuu kuhusu mafuta naomba kukuchallenge, mafuta kwa miezi michache iliyopita bei iliku $2.03 per litre, kwa Sasa m Bei no $2.2
Hii kupanda sana si kweli
 
Mkuu Netanyahu anajua anachofanya , mosi ni kuongeza mipaka ya nchi yake na ili aweze kuongeza mipaka hiyo ni lazima apigane vita. Pili ni kuvuruga wenye nguvu middle east ambao hawafwati sera za magharibi.
 
Wayahudi wa jf wakija watakuambia ni mteule
 
Uyo mwamba Ali hakikisha anga la Iran amelitia mfukoni mwake katika vita vya siku 12 uku Kile kibabu chenye mvi nying kikimbilia kwenye bunker na lundo la pampers za sofcare maana Ile midude ya F15 & 16 Kila ilipo kua ikitawala anga ayatollah nya ilikua ina dondoka tu yenyewe....
Samaleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…