Hivi ni baadhi ya vitu vijana wa daslamu wale wa "born here here" wanavionaga ni vya ajabu sana na unbelievable kwao.

Hivi ni baadhi ya vitu vijana wa daslamu wale wa "born here here" wanavionaga ni vya ajabu sana na unbelievable kwao.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
1: Kukutana kimwili na mdada ambae ni bikra OG pale utakapo mmoa. Hadi wanaandika nyuzi humu namna ya kumtambua mdada alie bikra kitandani😂

2: Kula Kuku na mayai ya kienyeji

3: Kwamba kuna vijana ambao hajawahi kula chips maisha yao yote.

4: Kusalimiwa na binti huku akipiga goti

5: Kwamba kuna matajiri wa kilimo huko mashambani.
 
Back
Top Bottom