Mpaka tunaingia mfumo wa vyama vingi 1992 CCM ilikuwa na miaka 15 ikiongozwa na Mwalimu Nyerere ambaye ndiye aliyeianzisha baada ya kuiunganisha TANU na ASP na kuunda CCM. Na kabla ya CCM alikuwa ameiongoza TANU kwa miaka 23 hivyo ameviongoza vyama vya TANU na CCM kwa miaka 38. Sikumbuki kumuona m
Mpaka tunaingia mfumo wa vyama vingi 1992 CCM ilikuwa na miaka 15 ikiongozwa na Mwalimu Nyerere ambaye ndiye aliyeianzisha baada ya kuiunganisha TANU na ASP na kuunda CCM. Na kabla ya CCM alikuwa ameiongoza TANU kwa miaka 23 hivyo ameviongoza vyama vya TANU na CCM kwa miaka 38. Sikumbuki kumuona mwanaTanu au CCM akihoji pamoja na vyama kumiliki serikali kwa muda wote huo. Leo mnavishangaa vyama vya upinzani eti havibadilishi viongozi wake, unayajua malengo ya kuanzishwa kwake?
Akili ndogo huwezi elewa
wanaTanu au CCM akihoji pamoja na vyama kumiliki serikali kwa muda wote huo. Leo mnavishangaa vyama vya upinzani eti havibadilishi viongozi wake, unayajua malengo ya kuanzishwa