Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Kusema ule ukweli toka ndani ya mtima kuna kifaa hua nakielewa humu ndani dada angu[emoji23][emoji23] Ila hyo ya kukifata PM hahahaa, ndo sijawahi waza.
Hua namuombea tu kimoyomoyo siku akanyage mdudu ajikute piemuni mwangu[emoji23][emoji23]
Make a move ukisubiri kufatwa utachelewa mwishowe wajanja watamuwahi.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Nilisha sahau haya ma mistari. Nimezoea kusema, ni sh ngapi? Maana najua hata mwisho wa mistari nitaambiwa bebiiii nina shida ya elfu 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…