Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Aaww na venye sijawah kufungua uzi, naomba ufanye namna hadi uzi wangu wa kwanza huku JF uwe ni kuhusu wewe[emoji7][emoji7]
Ntaandika gazeti hiloo adi utafrahi mbona

[emoji7][emoji7][emoji7]🥰 ila kuambiwa maneno matamu ni raha aise, najihisi nipo dunia ya peke angu, na hivi nimejifungia ndani basi akili yote iko kwako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…