Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hahahaaa nmecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanatuzoom tu wanasema "hiiiii"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa nmecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanatuzoom tu wanasema "hiiiii"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe nakuaminia shosti, kwenye majibu haujawahi niangusha.
Maskin bibi wa watu, wakikamatwa hao vijana miaka 30 iwahusu.
Hadi wakitoka adabu itakua imewashika vizuri
Ndo ubadilike sasa, huku ndo kwenye fursa et[emoji23][emoji23]
Hahaa ndo wakome, wasipate nguvu tena za kubaka
Mambo unatafta mwanaume?Mie juzi nimekutana na PM
Yeye:Mambo vp,unatafuta mwanaume?
Mimi:Nioneshe sehemu niliyoandika natafuta nwanaume
Sijui kapotelea wapi
Aaww na venye sijawah kufungua uzi, naomba ufanye namna hadi uzi wangu wa kwanza huku JF uwe ni kuhusu wewe[emoji7][emoji7]
Ntaandika gazeti hiloo adi utafrahi mbona
Kuna lile lingne pia watu wanaweka matangazo yao kabisa ya kutafuta, we unafanya kupick tu mwenye vigezo utakavyopendezwa navyo.
😲🤔
Hahaa ndo wakome, wasipate nguvu tena za kubaka
Hahaa huu ni mwanzo tu mbona, utafrahi mwenyew😋😋[emoji7][emoji7][emoji7]🥰 ila kuambiwa maneno matamu ni raha aise, najihisi nipo dunia ya peke angu, na hivi nimejifungia ndani basi akili yote iko kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nafanyiwa utafutaji leo mpaka nitakoma😂😂
Hependi miziki ya kidini dini?[emoji44][emoji848]
Bongo fleva ila sio zile bana pua na za nje kidogo..
Nikurahisishie wasanii ninao wakubali ni Hawa
Michael Jackson
Chid Benz
Barnaba
TID
Mr blue
Mad ice
Kiujumla napenda mziki mzuri!
Umeanza kuchepuka ee..??Hahaa huu ni mwanzo tu mbona, utafrahi mwenyew😋😋
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nafanyiwa utafutaji leo mpaka nitakoma[emoji23][emoji23]
Nitapatikana tu
Chache sana..
Hahaha.!!.
Kuwa ignored walaqhi inauma hata kwenye maisha ya duniani.! Siyo mtandaoni tu.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]