Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Kuna watu ni private investigators..wanasense hadi muandiko so wewe jiachie kumbe washakujua kitambo ni nani.. wanajua hadi unafanya kazi ofisi gani na uzi ukishawekwa ndo utawajua kwa michango yao
Siku hiyo nimejifanya nimebadili ID na avatar kabisa nikaanzisha zangu thread,
Nikashangaa wakasema huyu si fulani huyu, tena wako busy kabisa wananifahamu vizuri, eti wamefahamu kupitia mwandiko, nilicheka.!
 
Hahaaaaa kwa hiyo uliona watu hawakujui wakati mwandiko wako ni mwepesi kukaririka.. pole sana carly πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asa nifanyaje wakati ulijaribu kitu impossible πŸ˜‚πŸ˜‚ ..
Next time usimix lugha halafu njoo na lugha ya uswazi kabsaa hapo hautojulikana. Niamini mimi
Hahaha..!
Walaqhi mdogo wangu niliandika kimalkia pekee sikumix na kitu oote.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…