[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu hata mie id za hivyo huwa nina wasiwasi nazo sanaTena nikikuta ID ya zamani yenye posts chache ama ID mpya imeniPM ujinga huwa sifikirii mara mbili cha kujibu [emoji23][emoji23][emoji23]
It counts alots The Monk, May God blesses be upon you.!!Oh! Hii imenifariji mno japo JF naichukulia sehem ya burudani na kupunguza stress.
Sijawahi fikiria kwamba michango yangu inaonekana hivyo kuwa ya busara na inathaminiwa.
Shukrani kwa kujali na kuthamini.
Uwe na wakati mwema.
Ule usemi usemao nyani mzee amepigwa mishale mingi [emoji86][emoji85]Tena nikikuta ID ya zamani yenye posts chache ama ID mpya imeniPM ujinga huwa sifikirii mara mbili cha kujibu [emoji23][emoji23][emoji23]
God forbid..!!teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23] nimetamani ninge screenshot afu nikutumie hapa habari fulani ya watoto wa miaka 14 mpaka 18 walimbaka bibi wa miaka 70 huko serengeti ,mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..!Kwa heshima yako Carleen nami nimechangia mada!!
Yote uliyoyasema yana mantiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wengi wanapenda carrer hiyoHaha.!
Kwanini.?
Ni kitu kizuri kuwa real, and I do appreciate you in that, siyo tu kutokujibu kuna wengine siyo wastaarabu kiasi kwamba ni lazima ku-leave na ku-ignore their future messages.!!Mimi huwa najibu ukweli wangu, sidanganyi wala simjibu mtu vibaya ILA sijibu kila PM.
Kuepuka kutoa hayo majibu ya makali au ya uongo huwa nachagua kutokujibu kabisa.
Wengi hawajui na hawana idea so sidhan kama wapo tayarNdiyo wanapenda, lakini je, wapo tayari ku-sacrifice kila kitu in the name of their career.!?
Hahah Unajua pia navyokukubali!!Hahaha..!
Nakukubali sana mkali wangu Mnazareth jina lenye kheshima hilo ujue.!!
Hahaa..Sisi wamkoani tunabaguliwa sana pm. Kuna demu humu alinifata pm baada ya kumwambia nipo mkoani hakurudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app