Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23] nimetamani ninge screenshot afu nikutumie hapa habari fulani ya watoto wa miaka 14 mpaka 18 walimbaka bibi wa miaka 70 huko serengeti ,mara


Sent using Jamii Forums mobile app
God forbid..!!
Sijui vijana wetu wa kiume huwa wanapatwa na nini maskiini.!!
Mungu tu aziponye hizi roho.!!
 
Mimi huwa najibu ukweli wangu, sidanganyi wala simjibu mtu vibaya ILA sijibu kila PM.

Kuepuka kutoa hayo majibu ya makali au ya uongo huwa nachagua kutokujibu kabisa.
Ni kitu kizuri kuwa real, and I do appreciate you in that, siyo tu kutokujibu kuna wengine siyo wastaarabu kiasi kwamba ni lazima ku-leave na ku-ignore their future messages.!!
 
Back
Top Bottom