Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

sisi wanaume bana, huwa ninatumia Acc ya Girl wangu ya Insta kuangalia picha basi huwa naona texts za mijamaa inazomtumia nashangaa sana, kuna mmoja toka mwaka 2017 anatuma tu texts na hajibiwi za kuomba namba na kutongoza
Haha.!.
Anakuwa kama Adelle anabaki akisema 'Hello, its Me' siku zote za maisha yake..!!
 
Mzee wa mashairi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…