EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Nshajizoelea mkuu, siwezi kutongoza IDAfadhali yako wewe, na uendelee na msimamo wako huo huo..!!
Huku utakutana na miujiza bure.!
badala afurahiπ€£,sasa hivi wameivamia Twitter wanajiita wapwaKuna mmoja nilimfuma anajiliza kisa bibie karudisha muamala aliomtumia π
Nope!Bora wewe una misimamo mkuu, hivii umeoa??
Kumepamba moto huko Twitter saizi [emoji28]badala afurahi[emoji1787],sasa hivi wameivamia Twitter wanajiita wapwa
Haya mkuu ila ushamuita πBlesses mkuu tutaongea biashara,
Ila make sure usiambie Dadmom,
Ahahaha...maombi ya waz waz haya unataka nianguke mapepo mbele ya kadamnasi?Don't bother hata kukuja,
Kwanza funga macho tuombe.!!
[emoji3][emoji3][emoji3] Ndiyondiyo na ingekua kidogo watu mmeonana na kunyanduana kiasi fulani kuvumiliana kungekuepoKuna ile kuboreka sjui ndo kukinai. Hadi unaanza kumuona kero akikutafuta
sanaaπ twitter imeshabadirishwa matumizi juzi Diva nae katutangazia kwamba hachakatani mwaka huu kupitia twitter
Dah! Naona nimekuja kwa Israeli mtoa roho! Hata husemi nisijinyonge!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinyonge tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahh nataka kusema Hivi Hata Members wa Love Connect walikua kama wewe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unataka kusemaje hapa?? 'shindwaa saitanii'..!!
πππππ€£π€£π€£π€£π π πPm ya mwisho ilikua Feb..
Nilimwambia nimekumiss sikuoni jukwaani..Akasema Kamiss dada zako
π§π§π΄π΄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Naona nimekuja kwa Israeli mtoa roho! Hata husemi nisijinyonge!!
Haya kwa heri baki na uchoyo wako ndio maana unasura kama COVID-19..
Naombea na mods wawe wanakupiga ban wewe tu wasione mwengine uwe chaguo lao la milele!, Kwani id yako imekuwa ya kunitesa na kunijibu hapana ati hutaki! Sasa si bora upigwe ban..
Wote wapo chini ya maika 10.πππππ€£π€£π€£π€£π π π
Mkuu dada zako hawajambo..??
Unaweza nipatia namba ya mmoja wapo..?
ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waite wanizawadie ban
Sent using Jamii Forums mobile app