Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Kusema ule ukweli toka ndani ya mtima kuna kifaa hua nakielewa humu ndani dada angu😂😂 Ila hyo ya kukifata PM hahahaa, ndo sijawahi waza.
Hua namuombea tu kimoyomoyo siku akanyage mdudu ajikute piemuni mwangu😂😂
Sasa hapa mdogo wangu si itabidi tufunge na kuomba siku 40 ila huu muujiza utendeke?
 
Kusema ule ukweli toka ndani ya mtima kuna kifaa hua nakielewa humu ndani dada angu[emoji23][emoji23] Ila hyo ya kukifata PM hahahaa, ndo sijawahi waza.
Hua namuombea tu kimoyomoyo siku akanyage mdudu ajikute piemuni mwangu[emoji23][emoji23]

ewe ki smart nidondokee mimi[emoji1374]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 majibu yangu ya ndiyo hapana.. short and clear .. yalimchosha mtu yeye alikuwa anataka akiuliza swali nijielezee..khaaa!!..akanichunia mazima hadi jukwaani akanilia buyu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom