Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mtu gani tena huyo aseeMdogo wangu bora utulie hivyo hivyo maneno na mtu mie sitaki jamani.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu gani tena huyo aseeMdogo wangu bora utulie hivyo hivyo maneno na mtu mie sitaki jamani.!!
Mambo ya kuvutana ndani😂😂
Daah😂😂😂
yupo kama mimi ,sipendi hayo majibu, yani mwanaume mzima niandike angalau maneno 10 afu nijibiwe NDIO kama nitatuma tena texts basi hiyo siku polepole anakuwa mwenyekiti wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Poleyupo kama mimi ,sipendi hayo majibu, yani mwanaume mzima niandike angalau maneno 10 afu nijibiwe NDIO kama nitatuma tena texts basi hiyo siku polepole anakuwa mwenyekiti wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
AmeenNa wote tuseme Amina mdogo wangu.!
[emoji23][emoji23][emoji23] Pole
Yes haina kuremba sometimes ubaya ubaya tu
Ntamnawisha mikono na sanitizer itamuhusu then tuendelee na mazungumzoAmen kubwa sana, tena huyo jamaa huko alipo upepo wa kisulisuli umsukume ajikute PM yako.
Ila achukue tahadhari zote za Covid 19.
Nadhani upo kama mimi chat ya kushosha siwezi niko hivyo kuchat kiasi mpaka vidole vinatoka jasho siwezi au kuandika message ndefu siwezi.😂😂😂 majibu yangu ya ndiyo hapana.. short and clear .. yalimchosha mtu yeye alikuwa anataka akiuliza swali nijielezee..khaaa!!..akanichunia mazima hadi jukwaani akanilia buyu 🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁😁Yes haina kuremba sometimes ubaya ubaya tu
Mambo ya kuvutana ndani[emoji23][emoji23]
😂😂Itakua kilimuuma sana, hadi kukuwekea bifu hahaa
Ila sasa kwa style hyo atachunia wangapi lakini
😁😁😁yupo kama mimi ,sipendi hayo majibu, yani mwanaume mzima niandike angalau maneno 10 afu nijibiwe NDIO kama nitatuma tena texts basi hiyo siku polepole anakuwa mwenyekiti wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app