Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

yupo kama mimi ,sipendi hayo majibu, yani mwanaume mzima niandike angalau maneno 10 afu nijibiwe NDIO kama nitatuma tena texts basi hiyo siku polepole anakuwa mwenyekiti wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂 Pole
 
😂😂😂 majibu yangu ya ndiyo hapana.. short and clear .. yalimchosha mtu yeye alikuwa anataka akiuliza swali nijielezee..khaaa!!..akanichunia mazima hadi jukwaani akanilia buyu 🤣🤣🤣🤣
Nadhani upo kama mimi chat ya kushosha siwezi niko hivyo kuchat kiasi mpaka vidole vinatoka jasho siwezi au kuandika message ndefu siwezi.
 
Back
Top Bottom