Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF,

Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani

Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku Buguruni, vibaka, foleni barabarani etc

Je, wewe unamiss kipi?
 
Sasa unaondokaje dar?!
Kuna kuondoka kwa aina nyingi;
Kuhama kikazi kwenda mkoa mwingine
~ Kushindwa pirikapirika za Dar katika kujitafutia kipato kwa vijana, kujaribu sehemu nyingine.
~ Kukimbia baada ya kuharibu mkono wa sheria
~ Safari za kibiashara ambazo humfanya mtu kukaa nje ya Dar kwa muda mrefu n.k
 
Back
Top Bottom