Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

Kuna kuondoka kwa aina nyingi;
Kuhama kikazi kwenda mkoa mwingine
~ Kushindwa pirikapirika za Dar katika kujitafutia kipato kwa vijana, kujaribu sehemu nyingine.
~ Kukimbia baada ya kuharibu mkono wa sheria
~ Safari za kibiashara ambazo humfanya mtu kukaa nje ya Dar kwa muda mrefu n.k
We kaka mambo
 
Motivational speakers nawasubiri hapa,watasema dar siondoki sababu kuna mzunguko mkubwa wa pesa [emoji1][emoji1][emoji1].

Unaweza kudhani kila mtu dar ni mfanyabiashara kumbe % kubwa Ni majobless,vibarua kwa wahindi/wachina na wale wa kusubiri nyongeza ya mishahara.
Huo mzunguko wa pesa unapita kwao nini [emoji16]
 
  1. Pweza na supu yake,ngisi,kachori na bagia pale Makumbusho Bus Stand, baadaye unashushia na juisi ya miwa bariidi sana
  2. Mihogo ya kukaanga na mishkaki ya Coco Beach
  3. Vichupi na PIsi kali pale Wavuvi Kemp na Kidimbwi
  4. Malaya mbwa pale Kitambaa cheupe Sinza
  5. Chicken Shawarma -Sultan Restaurant
  6. BBQ za kihindi mitaa ya Jamhuri usiku, hasa pale Mamboz Grill Kisutu
  7. Kukaa kwenye daladala siti moja na pisi kali mapaja nje nje Posta - Mwenge -Tegeta
  8. Ukiwa maeneo ya Town mfano Serena chakula ni 30,000/- au zaidi lakini maeneo hayo hayo ya karibu ambayo ni umbali wa kutema mate tu ukiwa na Tshs 2,000 unaweza kupata chakula cha mboga saba na maji mengi sana ya kunywa ...hali ni hiyo hiyo maeneo ya Kempinski , Golden Tulip,Johari Ratana,City Mall nk
  9. Heka heka za Buguruni , Gongolamboto na Mbagala kwenye ngwala za kuku, utumbo, ngozi, mapupu, dagaa kamba, dagaa mchele nk
  10. Burgers - Leaders Club(sijui bado wapo?), Pizza za maana PizzaHut,Pizzeria
Jamani iacheni Dar kama ilivyo
Duh , Nikiwa huku mikoani kibiashara hasa Dodoma, Morogoro, Singida huwa nateseka sana , namiss sana hayo mambo ua mujini
Mwamba umepiga mule mule....
 
Mikelele ya dsm yani hata usiku hapatuliii nipo mkoa saii ni wiki hata akili imetulia ukimya umetawala.
 
Habari JF,

Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani

Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku Buguruni, vibaka, foleni barabarani etc

Je, wewe unamiss kipi?
roots za kariakooo
 
Marafiki na mpenzi wangu.. ni shida tu zimenileta mkoani ila mpaka sasa hivi bado sina raha na huku nilipo.. napakumbuka sana dar kwa kweli
 
Namiss mihogo na mishikaki ya coco beach.

Na pia night life.. I love shopping at night na kuzurura town mida hiyo
Hata mie napenda sana kufanya shughuli zangu wakat wa usiku, nakuwa huru saana.
 
Back
Top Bottom