Namiss mambo mengi dar
_Vigodoro vya keko na mbagala
_kula chipsi yai yenye hadhi na upishi
mujarabu kabla kuweka maayonaizi, vipi uhakika wa biriani kila ijumaa? Vipi upatikanaji wa Pizza kirahisi ? Vipi uwezo wa kula kuku daily (broiler) kikubwa uwe na elfu sita yako? Vipi miguu ya kuku pale Keko machungwa?[emoji1787][emoji1787] na sijasahau chipsi za jero kwa mama Kidetu[emoji23][emoji23]
_Kukutana na wazee wa mission town au wazee wa kila kitu chawezekana hakuna kinachoshindikana kwa msemo wao (Penye uzia penyeza rupia)[emoji120][emoji120]
_kutokuwa bored nikiwa na hela mfukoni popote napata burudani
_ kukutana na wanangu( company) daily na story za hapa na pale
_wamama na wababa watu wazima ila wanaishi kama watoto yaani uzungu mwingi
_Sehemu zangu za kujida ÷LIQUID ,KING PALACE ,AMBIANCE ,BEACH KIDIMBWI ,SUGAR RAY ,KITAMBAA CHEUPE na COCO BEACH
_Mitaa yangu ya kujidai Keko
_machungwa , Temeke _mikoroshini ,Ubungo Plaza , Tandale kwa Tumbo , Masaki _chole , mnazi mmoja _Lumumba na Kariakoo _mtaa wa Pemba , oysterbay kwa boss Kubwa (Kubwa la mipango kazi)
_Askari polisi , askari magereza na ma pot wote tunaishi nao mtaani kama wana mpaka mademu tunashare
_Uhakika wa kila jambo ilimradi hela iwepo
_Story za vijana wa dar kila mtu kuwa na ndugu ambaye yupo kitengo [emoji23][emoji23]
Yapo mengi ila tuishie hapo maana sijawataja wanangu wa sokota bado buguruni vipi pale riverside pale mikase na vipi wanangu wa Mabibo _darajani ?