Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

Unaondoka dsm unaenda kuishi wapi kwa mfano..siku natoka dsm manake naenda usa ama ulaya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari JF,

Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani

Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku Buguruni, vibaka, foleni barabarani etc

Je, wewe unamiss kipi?
Kugombea daladala na mwendo Kasi🤸
 
Habari JF,

Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani

Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku Buguruni, vibaka, foleni barabarani etc

Je, wewe unamiss kipi?

Na miss wa kumuuzia simu sabuni stendi
 
Back
Top Bottom