Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

We kaka mambo
 
Huo mzunguko wa pesa unapita kwao nini [emoji16]
 
Mwamba umepiga mule mule....
 
Mikelele ya dsm yani hata usiku hapatuliii nipo mkoa saii ni wiki hata akili imetulia ukimya umetawala.
 
roots za kariakooo
 
Marafiki na mpenzi wangu.. ni shida tu zimenileta mkoani ila mpaka sasa hivi bado sina raha na huku nilipo.. napakumbuka sana dar kwa kweli
 
Namiss mihogo na mishikaki ya coco beach.

Na pia night life.. I love shopping at night na kuzurura town mida hiyo
Hata mie napenda sana kufanya shughuli zangu wakat wa usiku, nakuwa huru saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…