Mie kuna mzungu mmoja namzengea zengea, nikifanikiwa nitaleta majibu. Kuhusu joto sijali sana, tangu lini sushi au muscles vikachemshwa bana?
Raha ya hivi ndimu tu, kitu hicho
Kila kheri mwaya
Mie mwenzio hapana,
kama ni hayo madolari nitayapata humu humu home.
Ishu sio madolari, ishu ni uzoefu na kutunza kumbukumbu
Si unaona Bishanga alivyoturusha roho kwa mkorea? Hapo nilitakiwa nikate uzoefu wa mhispania, mjerumani, mwitaliano, mafghanistan, mhondurus, mhadzabe nikamalizia na mkombai, how sweet would that be? v
Usiogope, ndio kazi yake, hamna nyingine.
Komea hapohapo kutubugisha step Mamndenyi !
Hapa tuliosoma baooloji tupo kibwena!
Usitudanganye eti wa "Ke" wa umri wako eti mna punguzo la mautumu ktk pitch!
Biology imeshatoa ithibati pasipo doubt kwamba wamama between 30-45 yrs ndiyo wanaopata mnogesho yakinifu wapigwapo kipara, than 15-29 & 46yrs to above! Nami sina shaka upo kunako group la 30-45.