Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Aug 13, 2013 #41 Mamndenyi nani anakuchokoza? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Aug 13, 2013 Thread starter #42 Mamndenyi said: Nyeupe sitembelei kabisa nina alegi nayo. Mie ni wa hapa hapa Click to expand... Huo mchezo wako wa kujibu nusunusu kumbe hujauacha!
Mamndenyi said: Nyeupe sitembelei kabisa nina alegi nayo. Mie ni wa hapa hapa Click to expand... Huo mchezo wako wa kujibu nusunusu kumbe hujauacha!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Aug 13, 2013 #43 Kuna kijana wako hapa anataka ajue maujanja yangu wewe si umehamia kwa Kongosho Bishanga said: Mamndenyi nani anakuchokoza? Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kuna kijana wako hapa anataka ajue maujanja yangu wewe si umehamia kwa Kongosho Bishanga said: Mamndenyi nani anakuchokoza? Click to expand...
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Aug 13, 2013 Thread starter #44 Mamndenyi said: Kuna kijana wako hapa anataka ajue maujanja yangu wewe si umehamia kwa Kongosho Click to expand... Huyo unaemshatakia mwambie aniangalie kwa jicho la mfanyabiashara aliangaliavyo jengo la T. R. A ! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Kuna kijana wako hapa anataka ajue maujanja yangu wewe si umehamia kwa Kongosho Click to expand... Huyo unaemshatakia mwambie aniangalie kwa jicho la mfanyabiashara aliangaliavyo jengo la T. R. A !
K KIBONGOMKUTI JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 1,425 Reaction score 616 Aug 13, 2013 #45 Bandugu huo ubaridi wa wadhungu ni wakiwa huko makwao au hata hapa Bongo joto kama pasi ya Mchina? Japo siwafagilii kivile nashawishika ku -test flani?
Bandugu huo ubaridi wa wadhungu ni wakiwa huko makwao au hata hapa Bongo joto kama pasi ya Mchina? Japo siwafagilii kivile nashawishika ku -test flani?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Aug 13, 2013 #46 Haaaa hivi bado mnagombania tu Judgement said: Huyo unaemshatakia mwambie aniangalie kwa jicho la mfanyabiashara aliangaliavyo jengo la T. R. A ! Click to expand...
Haaaa hivi bado mnagombania tu Judgement said: Huyo unaemshatakia mwambie aniangalie kwa jicho la mfanyabiashara aliangaliavyo jengo la T. R. A ! Click to expand...
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Aug 13, 2013 Thread starter #47 Mamndenyi said: Haaaa hivi bado mnagombania tu Click to expand... kugombea utamu hakugharimu!