Hivi ni kwa wanawake wengi hawaamini kama waume zao anaweza ishiwa pesa?

Mtoto wa kike anajifunza Kwa baba yake kuwa hakosi pesa hivyo akiolewa aliyemuoa anamgeuza kuwa baba yake, hivyo anajua yeye ndiyo jibu la maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…