Hivi ni kwamba laana, kutamkiwa maneno mabaya huja baadae kumuathiri mtu

Qashy Lilith

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2024
Posts
1,508
Reaction score
2,965
Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu?

Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
 
Hamna kitu kama hicho,ingekuwa hivyo si kila mtu tu,angakuwa anaajiamulia kwamba sijakubaliana na mtu fulani hivyo kutokana na hilo namuachia laana,mfano rahisi ni katika suala la kuowa/kuolewa Kijana anaweza kupata binti lakini wazazi wake wakamkataa tu,kijana akikomaa nae wanajidai ohhh ukimuowa tunaacha laana.
 
Methali 26:2 BHND
[2] Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui.
 
Hamna kitu kama hicho,ingekuwa hivyo si kila mtu tu,angakuwa anaajiamulia kwamba sijakubaliana na mtu fulani hivyo kutokana na hilo namuachia laana,mfano rahisi ni katika suala la kuowa/kuolewa Kijana anaweza kupata binti lakini wazazi wake wakamkataa tu,kijana akikomaa nae wanajidai ohhh ukimuowa tunaacha laana.
Unakuata laana inatokea au ni maneno tu
 
Zipi zinaweza kumkuta mtu
Siwezi kusema ni zipi maana sina uhakika sana,, mfano ukaivunja amri ya nne ya Mwenyezi Mungu kwa kutoku waheshimu wazazi wako na ikatokea siku wakaku tamkia laana,, matokeo yanaweza kuwa mawili yani 50/50, (laana iku pate au isi kupate) 😎🤝
 
mabaya ni lazima yakukute, uwe umenenewa au hujanenewa

laana ni suala la imani

kama unaamini kwenye laana, na mabaya yakakukuta, utadhani ni laana

ni psychology inaitwa confirmation bias
 
Siwezi kusema ni zipi maana sina uhakika sana,, mfano ukaivunja amri ya nne ya Mwenyezi Mungu kwa kutoku waheshimu wazazi wako na ikatokea siku wakaku tamkia laana,, matokeo yanaweza kuwa mawili yani 50/50, (laana iku pate au isi kupate) 😎🤝
Ila kama huistahili ilo laana utaipata
 
Hamna kitu kama hicho,ingekuwa hivyo si kila mtu tu,angakuwa anaajiamulia kwamba sijakubaliana na mtu fulani hivyo kutokana na hilo namuachia laana,mfano rahisi ni katika suala la kuowa/kuolewa Kijana anaweza kupata binti lakini wazazi wake wakamkataa tu,kijana akikomaa nae wanajidai ohhh ukimuowa tunaacha laana.
Hamna kitu kama hicho,ingekuwa hivyo si kila mtu tu,angakuwa anaajiamulia kwamba sijakubaliana na mtu fulani hivyo kutokana na hilo namuachia laana,mfano rahisi ni katika suala la kuowa/kuolewa Kijana anaweza kupata binti lakini wazazi wake wakamkataa tu,kijana akikomaa nae wanajidai ohhh ukimuowa tunaacha laana.
Kuwatii wazazi ni jambo la lazima ila sio katika mambo mabaya (kumkufuru mwenyezimungu). Kwahyo kama mwanaume anataka kuona anaoa tuu Haina shida. Ila mwanamke hatoolewa kwasababu idhini lazima itoke kwao (wazazi). KNB: Kwavile niaminivyo mimi
 
Laana haipo mkuu .

Jifunze kucheza na frequency au mawimbi ukitune 88.5 ukiwa DSM basi MTU mwingine aki tune the same frequency atakupata .

Inashauriwa MTU anapokuwa anakulaani jaribu kuwa humble na umshukuru mwambie. Asante you will never be cursed.

Kitu kilichopo in our life is Karma ukifanya ubaya utalipwa now or later the same ukifanya mazuri you will be paid now or later.
 
Sasa utasemaje Asante ukiwa umelaaniwa kutokana na kosa lako😅mkuu?!
 
Back
Top Bottom