Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Njia ya kuiondoa laana ni kitubu mapema kabla mtamkaji hajarudi mavumbiniHivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu?
Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.