Exception 1: 'LAANA ya mzazi' = Ushirikina.
Hii mzazi kama ni mshirikina akitaka kukukabidhi mambo yake ya kishirikina hukakataa lazima akuone wewe mtoto wake kuwa ni mbaya ndo ataanza kukulaani vibaya lakini Mungu wetu ugeuza laana kuwa baraka kwahiyo mama mzazi kama ni mshirikina hasipo kubali kuacha ushirikina bora afe kabisa maana neno la Mungu linasema husikubali mwanamke mchawi kuishi kwanini wewe mama mzazi hunakosa upendo kwa mwanao unaanza kumlaani jamani icho kitu hakipo huyo ni mshirikina kabisa