Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Kwanini mazuri hayaji au tunaamini sana katika ubayaIla mazuri ata usemeje hayaji.
Zipi zinaweza kumkuta mtuHayo ni mambo ya kiimani zaidi,, siyo kila laana au baya analotamkiwa mtu basi litamkuta. 😎🤝
Methali 26:2 BHNDHivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu?
Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
Unakuata laana inatokea au ni maneno tuHamna kitu kama hicho,ingekuwa hivyo si kila mtu tu,angakuwa anaajiamulia kwamba sijakubaliana na mtu fulani hivyo kutokana na hilo namuachia laana,mfano rahisi ni katika suala la kuowa/kuolewa Kijana anaweza kupata binti lakini wazazi wake wakamkataa tu,kijana akikomaa nae wanajidai ohhh ukimuowa tunaacha laana.
Siwezi kusema ni zipi maana sina uhakika sana,, mfano ukaivunja amri ya nne ya Mwenyezi Mungu kwa kutoku waheshimu wazazi wako na ikatokea siku wakaku tamkia laana,, matokeo yanaweza kuwa mawili yani 50/50, (laana iku pate au isi kupate) 😎🤝Zipi zinaweza kumkuta mtu
Ila kama huistahili ilo laana utaipataSiwezi kusema ni zipi maana sina uhakika sana,, mfano ukaivunja amri ya nne ya Mwenyezi Mungu kwa kutoku waheshimu wazazi wako na ikatokea siku wakaku tamkia laana,, matokeo yanaweza kuwa mawili yani 50/50, (laana iku pate au isi kupate) 😎🤝
Asantemabaya ni lazima yakukute, uwe umenenewa au hujanenewa
laana ni suala la imani
kama unaamini kwenye laana, na mabaya yakakukuta, utadhani ni laana
ni psychology inaitwa confirmation bias
Yani huistahili halafu uipate tena?, kivipi labda?Ila kama huistahili ilo laana utaipata
Ila kuna kifungu ambacho kinasema kulaaani ni dhambi ni kipi icho?!Methali 26:2 BHND
[2] Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui.
Point of correction*hautaipata*Yani huistahili halafu uipate tena?, kivipi labda?
Hamna kitu kama hicho,ingekuwa hivyo si kila mtu tu,angakuwa anaajiamulia kwamba sijakubaliana na mtu fulani hivyo kutokana na hilo namuachia laana,mfano rahisi ni katika suala la kuowa/kuolewa Kijana anaweza kupata binti lakini wazazi wake wakamkataa tu,kijana akikomaa nae wanajidai ohhh ukimuowa tunaacha laana.
Kuwatii wazazi ni jambo la lazima ila sio katika mambo mabaya (kumkufuru mwenyezimungu). Kwahyo kama mwanaume anataka kuona anaoa tuu Haina shida. Ila mwanamke hatoolewa kwasababu idhini lazima itoke kwao (wazazi). KNB: Kwavile niaminivyo mimiHamna kitu kama hicho,ingekuwa hivyo si kila mtu tu,angakuwa anaajiamulia kwamba sijakubaliana na mtu fulani hivyo kutokana na hilo namuachia laana,mfano rahisi ni katika suala la kuowa/kuolewa Kijana anaweza kupata binti lakini wazazi wake wakamkataa tu,kijana akikomaa nae wanajidai ohhh ukimuowa tunaacha laana.
Nimekuelewa hapa.Point of correction*hautaipata*
Sasa utasemaje Asante ukiwa umelaaniwa kutokana na kosa lako😅mkuu?!Laana haipo mkuu .
Jifunze kucheza na frequency au mawimbi ukitune 88.5 ukiwa DSM basi MTU mwingine aki tune the same frequency atakupata .
Inashauriwa MTU anapokuwa anakulaani jaribu kuwa humble na umshukuru mwambie. Asante you will never be cursed.
Kitu kilichopo in our life is Karma ukifanya ubaya utalipwa now or later the same ukifanya mazuri you will be paid now or later.